Nimeachwa nifanye nini

Mama FaizaFoxy nautambua mchango wako sana. Nashauri ungetengeneza uzi ukipata muda kuwafunda dada zetu.
 
Nimekuelewa na nimependa pia hiyo dhana ya Kua modest sio lazima uvae majuba.. kwakweli nimeanza kuvutiwa na uislam
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna ghaflaa sanaa
 
Haukubali unataka kufanyaje? Ukiachwa achika songa mbele
 
Ukute una jini mahaba kinakuyumbisha kwenye mahusiano yako,Pambana kutafuta usaidizi wa kiroho..Huu ulimwengu una mambo.
 
Mlio achwa poleni, msio na baby poleni, mkakojoe kalaleni......kama big g yaaan utamu kama big g....hapa chini shuka tena......mbona nini unahema.......mashimo yote kanapita....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸš―πŸš―πŸš―πŸŽΆπŸŽΆπŸŽΆπŸŽΆπŸŽΆ
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Ukiachwa achika , halafu tulia tafakari ni sababu gani inafanya uachike huenda shida ipo kwako, pole sana.
 
Itakuwa mwezi Januari unaomba sana pesa, ikiwemo kodi ya nyumba ama mahitaji ya mtoto wako ya shule.
Hilo nalo akalitizame huenda anaomba mno mtu anaamua kukimbia, anapeleka mtoto shule ya gharama halafu pesa ya kuomba lazima ukimbiwe
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Ukichengwa Tulia[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…