Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama FaizaFoxy nautambua mchango wako sana. Nashauri ungetengeneza uzi ukipata muda kuwafunda dada zetu.Majuba siyo sheria Kiislam, ni mapendeleo tu ya mtu.
Uislam umehimiza Hijaba, hijab maana yake ni kuwa "modest", yaani mavazi yenye maadili mema, ysiyoweza kukera wala kutamanisha watu. Katika mavazi hilo ni kwa mwanamke na mwanamme.
Yale majuba mimi sijawahi kuvaa n awala sielewi maana yake nini? Labda ingekuw nchi ha baridi ningezema wanajikinga na baridi. Joto hili, mijuba, mosksi, mi gloves/ Aah, hiyo siyo mila wala desturi ya Kiislam.
Uislam unaenda na wakati, mradi tuwe "modest".
Nimekuelewa na nimependa pia hiyo dhana ya Kua modest sio lazima uvae majuba.. kwakweli nimeanza kuvutiwa na uislamMajuba siyo sheria Kiislam, ni mapendeleo tu ya mtu.
Uislam umehimiza Hijaba, hijab maana yake ni kuwa "modest", yaani mavazi yenye maadili mema, ysiyoweza kukera wala kutamanisha watu. Katika mavazi hilo ni kwa mwanamke na mwanamme.
Yale majuba mimi sijawahi kuvaa n awala sielewi maana yake nini? Labda ingekuw nchi ha baridi ningezema wanajikinga na baridi. Joto hili, mijuba, mosksi, mi gloves/ Aah, hiyo siyo mila wala desturi ya Kiislam.
Uislam unaenda na wakati, mradi tuwe "modest".
Akamroge Nani sasa😃😃Nenda kwa Mganga
Ndo angelalamika??😃😃umeachwa na hela?
Siyo judi, ni judii..Judi?
ndioNdo angelalamika??😃😃
Haya mambo huwa yapo kweli au ni uzushi tu.Ukute una jini mahaba kinakuyumbisha kwenye mahusiano yako,Pambana kutafuta usaidizi wa kiroho..Huu ulimwengu una mambo.
Ukiachwa achika , halafu tulia tafakari ni sababu gani inafanya uachike huenda shida ipo kwako, pole sana.2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Hilo nalo akalitizame huenda anaomba mno mtu anaamua kukimbia, anapeleka mtoto shule ya gharama halafu pesa ya kuomba lazima ukimbiweItakuwa mwezi Januari unaomba sana pesa, ikiwemo kodi ya nyumba ama mahitaji ya mtoto wako ya shule.
Akawaroge wote walio mwacha nao waachike huko walikoAkamroge Nani sasa[emoji2][emoji2]
Ukichengwa Tulia[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali