Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka kufanyeje? Umeshagundua shida yako ni nini? Kwa nini wanakutumia halafu wanakuacha?2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Pumzika na mahusiano kwanza2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Acha umalaya, tulia na mungu atakupa mwenza wa maisha. Jitunze na jiheshimu kuna UKIMWI. Muda wa nungu ukifika unapata mwenza wa maisha yako.2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Ahahahah... Asa hiyo ya kila January mbona hatari 😃😃kwan walianza ku date mwaka mpya? 😂😂.
Anyway cha muhim kiungo huwa kinajirud saiz yake baa inatosha ..akampe mwingine agonge gonge
Judi?Wewe ni Ke au Me?
Wewe ni ke au me!!?I'd haisadifu Kwa uwazi!coz nimemkumbuka judicate!!2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
😅😅😅😅😅😅ajifunze kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengineATakua hana mambo ndio shida..show za ng'ombe mbuzi hawez kaa
Mamkubwa punguza sauti basi, atajiua binti WA watu😃😃Mkome kumvulia mtu chupi kabla ya kufunga ndoa.
Njoo tuliwazane2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka binti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe.Mamkubwa punguza sauti basi, atajiua binti WA watu😃😃
tueleze vizuri wewe ni me au ke?2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Ila wanaume sikuizi wamekua waongo Sana tatizo.. sijui wamemfanya Nini Dada WA watuHana cha kujiuwa wala nini, mpaka bingti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe.
Matatizo siku hizi yanaanzia nyumbani ndiyo maana uasherati na uzinzi unazidi.Ila wanaume sikuizi wamekua waongo Sana tatizo.. sijui wamemfanya Nini Dada WA watu