Nimeachwa nifanye nini

Nimeachwa nifanye nini

Kila January unaachika? Ujue huu ni mwezi wa changamoto sana, hasa kiuchumi, kama ni msumbufu sana kipindi hiki hasa kwenye finances kuachwa ni lazima.
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Kwa hiyo unataka kufanyeje? Umeshagundua shida yako ni nini? Kwa nini wanakutumia halafu wanakuacha?
 
meseji kasema ana mke wake na watoto wake wakubwa😭😭😭
 
Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka bingti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe.
Ila wanaume sikuizi wamekua waongo Sana tatizo.. sijui wamemfanya Nini Dada WA watu
 
Ila wanaume sikuizi wamekua waongo Sana tatizo.. sijui wamemfanya Nini Dada WA watu
Matatizo siku hizi yanaanzia nyumbani ndiyo maana uasherati na uzinzi unazidi.

Wanawake wengi wanaanza kuvuliwa chupi na watu wao karibu kabisa, na wanaume ni hivyohivyo.

Watu wanadharau masomo ya dini amabayo yanafundisha maadili, ndiyo matokeao yake hayo.
 
Back
Top Bottom