comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #21
Not allowedweka picha,,
Not allowedweka picha,,
SureNyoka hachagui shimo La kuingia!....kula lager za kutosha.... .baada ya hapo huyo demu utamuona kama beyonce tu!
Kande na nyagi wapi na wapi?Ukiweka sukari mbona kande linaenda tu
Wakulaga makande weye???
Umeelewa mada kwanza...Wakulaga makande weye???
Kilaza mimi naelewaje!!!?? Hebu nipe mwongozo wa mada!Umeelewa mada kwanza...
Kwenye dating site, aliyemuona kwenye profile picture na kutongoza na kilichokuja ni tafauti...Kilaza mimi naelewaje!!!?? Hebu nipe mwongozo wa mada!
Kha kumbe!!!!! Nauvivu wangu wa kusoma content nkajua kande kama kande doh!!!Kwenye dating site, aliyemuona kwenye profile picture na kutongoza ni kilichokuja ni tafauti...
Kwenye dating site, aliyemuona kwenye profile picture na kutongoza ni kilichokuja ni tafauti...
Ajali kazini kwa mleta mada...Mkiambiwaga camera tu zinang'arisha si hamsikiii
Ndo mkomege hivoo
Weee haijawahi kutokea????!!Ajali kazini kwa mleta mada...
Sijawahi kuagizia,,,Weee haijawahi kutokea????!!