Nimeagiza supu ya samaki kumbe bei ni elfu 40,000 na mimi nina elfu 10,000, Kigoma nimekoma!

Nimeagiza supu ya samaki kumbe bei ni elfu 40,000 na mimi nina elfu 10,000, Kigoma nimekoma!

Nimekuja bar nimeagiza supu nimezoea zangu mwanza supu elf 5 had elf6.

Bili inakuja kumbe supu ya samaki huku huwa n elf 30 had 40!
Huyu nilokula ni elf 40.
NIMEWAMBIA NAKUJA NIKO CHOONI NALIA😭😢
Kaa humohumo chooni usitoke. Mwambie na wife wako aje kigoma awe anakuletea chalula humohumo. Usitoke
 
Back
Top Bottom