Nimeagiza supu ya samaki kumbe bei ni elfu 40,000 na mimi nina elfu 10,000, Kigoma nimekoma!

Nimeagiza supu ya samaki kumbe bei ni elfu 40,000 na mimi nina elfu 10,000, Kigoma nimekoma!

Attachments

  • 31BD2DD5-0F51-4217-9866-B52B81F9728D.jpeg
    31BD2DD5-0F51-4217-9866-B52B81F9728D.jpeg
    376.7 KB · Views: 5
Nimekuja bar nimeagiza supu nimezoea zangu mwanza supu elf 5 had elf6.

Bili inakuja kumbe supu ya samaki huku huwa n elf 30 had 40!

Huyu nilokula ni elf 40.

NIMEWAMBIA NAKUJA NIKO CHOONI NALIA
Hiyo bar inaitwaje iliyozidi viwango vya bei ya soup ya samaki mpaka hotel za nyota 3 jijini ambapo hakhna maziwq wala mito?
 
Nimekuja bar nimeagiza supu nimezoea zangu mwanza supu elf 5 had elf6.

Bili inakuja kumbe supu ya samaki huku huwa n elf 30 had 40!

Huyu nilokula ni elf 40.

NIMEWAMBIA NAKUJA NIKO CHOONI NALIA
Kama hujauliza bei tangu mwanzo hata supu ya 5,000 unaweza kupigwa 40,000 tu.

Si umekuja kifogo kuagiza bila kuuliza bei?
 
Back
Top Bottom