Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Kaa humohumo chooni usitoke. Mwambie na wife wako aje kigoma awe anakuletea chalula humohumo. UsitokeNimekuja bar nimeagiza supu nimezoea zangu mwanza supu elf 5 had elf6.
Bili inakuja kumbe supu ya samaki huku huwa n elf 30 had 40!
Huyu nilokula ni elf 40.
NIMEWAMBIA NAKUJA NIKO CHOONI NALIA😭😢
kwaiyo wakitaka kuingia uwanKaa humohumo chooni usitoke. Mwambie na wife wako aje kigoma awe anakuletea chalula humohumo. Usitoke
metro pubKiwanja gani nije nikuokoe nipo hapa Bangwe Beach
Ukimaliza kulia, nenda kalipe elfu 40 ya watu...NIKO CHOONI NALIA😭😢
Anawapisha kidogo then anarudikwaiyo wakitaka kuingia uwan
Naitoa wap we jamaaUkimaliza kulia, nenda kalipe elfu 40 ya watu...
we jamaa bana😂😂Anawapisha kidogo then anarudi
bana nilijua kigoma hakuwezi kua na bei za 5 star hotelKwanini usingeomba menu?
asantePole sana mkuu
Au umeingia na swaga sana hapo bei yao ni affordable
Bila picha huu Uzi ni TATEPA (TANZANIA TEA PACKERS) ☺️😊Nimekuja bar nimeagiza supu nimezoea zangu mwanza supu elf 5 had elf6.
Bili inakuja kumbe supu ya samaki huku huwa n elf 30 had 40!
Huyu nilokula ni elf 40.
NIMEWAMBIA NAKUJA NIKO CHOONI NALIA😭😢
Kwahiyo una shi ngapi hapo?Naitoa wap we jamaa
elf 10Kwahiyo una shi ngapi hapo?
we jamaa lipa no ya halotel nitaipata wap??Aweke lipa namba ya hotel tumchangie..
Hamna hata pakutokea hata hii pub iko sehemu tofaut sanaTokomelea kwa hukohuko chooni. Toka kidirishani