Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

Wanakutisha tu na kukukatisha tamaa ili usiwe millionea.

Hapo mdogo wangu hesabu tu siku, hizo biashara zinalipa sana. Shida kwa wengi ni mtaji tu wa hiyo mil 5.

Kajiunge haraka sana, mimi ningekuwa hata na mil 2 tu ningewafata niwabembeleze nijiunge
 
Hivi kumbe Qnet, D9, na Alliance bado zipo 2020, nikajua zimekufa, hakika wajinga hawataisha Tanzania ngoja Mr kuku atoke gerezani aje kukusanya billion zingine.
 
Don't try to get into that game you will waste money and time, even I was there years ago and found nothing


[emoji16][emoji16][emoji16] Ukiitwa kwenye fursa ujue ww ndio fursa yenyewe..... over
ponzi-scheme-bioplastics.jpg
 
Biashara ya UTAPELI tokea 2012 mpk Leo bado wanasaka wajinga wa kutapeli tu....haaah wajinga hawaishi.

Ushaambiwa kweny fursa huambiwi,mnakutana tu ....ushakuwa fursa sasa
 
Hizi biashara zishajadiliwa sana humu. Search qnet, D9, Forever Living, network marketing utaona nyuzi kibao
Wamehamia mikoan mkuu ...wanawapiga washamba wa mkoa balaa..dar washashtukiwa..wameenda tapel wakulima..Q net wanadhamb sana
 
Mkuu Supermind waombe hao mabilionea waliokuahidi ubilionea wakukopeshe hiyo 5.5M wewe utawalipa na riba ya 50% ukishakua bilionea
Usithubutu kutumia pesa yako, utajuta!!
Wamehamia mikoan sasa.wameona dar wameshtukiwa..so wanaenda kuwapiga waluga luga huko ..kuna kajamaa karafik kangu kenyew ndo ka master ka qnet..sasa hiv kako mwanza.kanawatandika balaa huko
 
Ungemuuliza mbona wew sio bilionea unataka kahela kangu! ..af ungemsikilizia anasemaje
 
Changamkia fursa hiyo usipoteze muda, ila utukumbuke kwenye ubilionaire
[emoji2957][emoji2957] Dahh, wabongo kaaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom