Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bilioneaaaa
 
Ni rahisi tu. Kwa kuwa wao tayari wapo hapo sikunyingi. Waambie wakukopeshe, then uwekeze ikuzaa unawalipa.
 
Wanakutisha tu na kukukatisha tamaa ili usiwe millionea.

Hapo mdogo wangu hesabu tu siku, hizo biashara zinalipa sana. Shida kwa wengi ni mtaji tu wa hiyo mil 5.

Kajiunge haraka sana, mimi ningekuwa hata na mil 2 tu ningewafata niwabembeleze nijiunge
Mbakaji, Muuaji na wewe hamna tofauti mbele za Mungu
 
Wanakutisha tu na kukukatisha tamaa ili usiwe millionea.

Hapo mdogo wangu hesabu tu siku, hizo biashara zinalipa sana. Shida kwa wengi ni mtaji tu wa hiyo mil 5.

Kajiunge haraka sana, mimi ningekuwa hata na mil 2 tu ningewafata niwabembeleze nijiunge
Hahaahah umeamua kummaliza kabisa kijana wa watu.
 
Yeye ameshakua bilionea? Kama maisha yake hata wewe huyaelewi then dont dare.
 
Mkuu Supermind waombe hao mabilionea waliokuahidi ubilionea wakukopeshe hiyo 5.5M wewe utawalipa na riba ya 50% ukishakua bilionea
Usithubutu kutumia pesa yako, utajuta!!
Hata siku moja hawakubali, wamenitafuta zaidi ya mwaka na nusu , Mara kopa tu hela utazipata ndani ya miezi 3. Na wanatumia mbinu nyingi sana sana wanawake kama chambo!
 
Back
Top Bottom