Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

Kijamaa una tabia za kitapeli sana
 
Fursa hiyo....ishike vizuri sana
 
Hii nchi haitakuja kuisha wajinga [emoji23] hivi wabongo mnapigwaje eti kirahisi hivyo [emoji2962][emoji115]
 
Bro, hyo inaitwa ponzi scheme, maana yake inakwenda kwa mfumo ya triangle, hapo old members ndio watakaofaidika na hyo scheme, new members possibility of loosing money ni 100%, hvyo kwamaana nyingine, unafanywa chambo, duniani hakuna biashara yanamna hyo biashara ni trasaction either service or product with money na sivinginevyo, kumbuka D9, Bitclubadvantage, zipo nyingi tuu za aina hyo. Hiyo bro pesa zako bora ukaziweke kwenye kilimo, biashara au biashara za stocks.
 
Schemes hatari kama zingine nyingi tu. Mkuu kama hela unayo ila huna matumizi, nunua shares kwa kampuni ya kueleweka, acha kujitafutia pressure baadaye!
 

Mi nakushauri tu unilipie ada naeza kuja kua moja ya assets huko mbele
 
D
 
Umepigwa
 
Jioni wanasalimiana GOODMORNING utajua kitakachokutokea usijaribu kanunulie alizet singida utunze kuna jamaa kambia kwao kaalika watu kisha wakasepa na pesa QNET GEITA ILIFILISI WATU EPUKA
 
Kama unayo hiyo pesa anzisha biashara usipoteze muda lakini pia unaweza ukawekeza kwenye makampuni ya hisa hapa hapa Tanzania
 
Hii kitu noma sana. Kuna classmate wangu wa O level alikua ananishawishi nijiunge na alliance international!

Yeye huposti picha akiwa na hela kibao, mara airport etc.

Siku nimemgongea laki tatu! Akasema yupo kwenye kikao! Mpaka leo hajatoka maana simu hapokei!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…