Nimeambiwa kumbe kuna Siri Kubwa imejificha pale Rais akiteua na kutengua muda mfupi. Naomba niijue tafadhali

Nimeambiwa kumbe kuna Siri Kubwa imejificha pale Rais akiteua na kutengua muda mfupi. Naomba niijue tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu kateuliwa leo Ijumaa kisha kesho Ijumaa anatumbuliwa au uteuzi wake kutenguliwa.
 
GENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu Kateuliwa Leo Ijumaa kisha Kesho Ijumaa Anatumbuliwa au Uteuzi wake Kutenguliwa.
Muulize SHETANI wa chato
 
Inabidi kufanya utafiti wa kuweka watu sahihi kwenye nafasi zao. Inaonekana viatu wanavyopewa ni vikubwa haviwatoshi. Nchi inapoteza hela kuweka na kupangua.
 
Sio kwamba ukienda nje na mipango ya Bi mkubwa unawekwa kando tu ,hata kama umeteuliwa nusu saa iliyopita !! Au anakua labda ameshapoint watu wa Karibu ndo wanamshutua hapa umeyakanyaga futa huyu jamaa !!
 
Sasa kama mkuu wa wilaya anaigiza kama ametekwa na wahalifu unatarajia nini?
Tena inabidi akahifadhiwe ahojiwe alikua anamaana gani kutumia jeshi kinyume na utaratibu
 
Sasa kama mkuu wa wilaya anaigiza kama ametekwa na wahalifu unatarajia nini?
Tena inabidi akahifadhiwe ahojiwe alikua anamaana gani kutumia jeshi kinyume na utaratibu
Kwani kuna habari gani?
Kuna mtu katumbuliwa huko?
 
Back
Top Bottom