GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Muulize SHETANI wa chatoGENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu Kateuliwa Leo Ijumaa kisha Kesho Ijumaa Anatumbuliwa au Uteuzi wake Kutenguliwa.
Kwani kuna habari gani?Sasa kama mkuu wa wilaya anaigiza kama ametekwa na wahalifu unatarajia nini?
Tena inabidi akahifadhiwe ahojiwe alikua anamaana gani kutumia jeshi kinyume na utaratibu
Kuna mkuu wa wilaya huko ameigiza kama amevamiwa eti anataka kutekwaKwani kuna habari gani?
Kuna mtu katumbuliwa huko?
Hii inahusiana vipi na mada? Au mkipewa buku saba zenu, mnatapika popote?Nimekuja Tabora maji mengi sana kumbe hakuna shida ya maji huku.