Nimeambiwa na madaktari sina uwezo wa kuzaa (mbegu hazina nguvu)


Dokta wa ukweli nielekeze huduma hiyo hupatikana wapi nami naihitaji.Ahsante kwa maelezo yanayojitosheleza.
 
muandae mkeo vizuri,utelezi wake wa ukeni unaweza saidia mbegu kufika kunako mfuko wa uzazi,mhakuna kianchoshindikana,watu wanapiga mimba hadi nnje ya mfuko wa uzazi mkuu
 
Mkuu pole sana kwa hilo tatizo zaid muombe Mungu kwa imani na fanyia kazi ushauri unaopewa,swali langu kwa wana jamvi je kuna uwezekano wa mwanaume kwenda hospital kuchek kama mbegu unazozalisha zina uwezo wa kutungisha mimba?

Ndio inawezekana inaitwa 'sperm analysis' wanacheki wingi wa sperm na nguvu ya mbegu kukimbia
 
Kuna matatizo yanatibika kwa mitishamba tu. Naamini wapo humu wazee wa mitishamba
 

Sikupi pole kwa sababu najua unaweza kuzaa, hayo ni maneno yanayotumiwa na shetani kukudiscourage. Nimekuinbox maombi kwa siku 40, baada ya hapo kama imani yako iko safi. Nenda kapime,ninajua utashuhudia hapa hapa jamvini.
 
Ndugu km mfuko Wako unaruhusu jaribu vipimo dar ivf gharama zipo juu ni km ifuatavyo kumuona dr dola 200,ukigundulika Una tatizo kufanya ivf inagharimu dola 7500,waweza wasiliana na huyu dr yupo pale 0716 206655
 

Dr mzima lkn??
nimependa ushauri wangu sina cha kuongeza
 
Jamani, kuna hivi virutubisho vya FOREVER LIVING, wanacho kirutubisho kinaitwa MULTMACA wengi kimewasaidia sana kwenye tatizo Kama hilo. Jaribu kaka. Hakina madhara kwani vinatokana na mimea. Huna cha kupoteza ukijaribu
 
Jamani, kuna hivi virutubisho vya FOREVER LIVING, wanacho kirutubisho kinaitwa MULTMACA wengi kimewasaidia sana kwenye tatizo Kama hilo. Jaribu kaka. Hakina madhara kwani vinatokana na mimea. Huna cha kupoteza ukijaribu

Kazi yake nini? Kuna site mbalimbali, sperm productiôn area, maturation, transport, mucous production etc. Hiyo yako inafanya kazi wapi? Anyway ukiwa na shida na unataka suluhu hata mavi utalishwa!
 

ipo miti shamba ndg nitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…