Nimeambiwa na madaktari sina uwezo wa kuzaa (mbegu hazina nguvu)

mimituu

Member
Joined
Nov 5, 2012
Posts
61
Reaction score
0
Mimi ni kijana niliyeoa, niko kwenye ndoa sasa kwa miaka tisa (9) sijapata mtoto; vipimo vinaonyesha mke wangu hana tatizo lolote kwenye uzazi-ila tatizo ninalo mimi;

nimeambiwa mbegu zinazozalishwa kwangu ni chache, pili hazina uteute utaozifanya ziteleze na kuweza kulifikia yai.

Madaktari wanasema hakuna dawa ya kurekebisha hiyo kwani "production site ya viscosity is deady" Ila chakushangaza nina uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa hata mara tano kwa siku na zinatoka vizuri; na zilipimwa ni nzima kabisa tatizo ndio hilo "Uchache na no viscosity"

Naombeni ushauri nifanyeje????????
 
Pole sana labda ungecheck na madaktari bingwa wanaweza kusaidia.
 
usifanye tendo la ndoa kwa mwezi mmoja ili zijijenge vizuri ndio ufanye
 
pole sana mkuu kwa muda wa miaka 9 huna mtoto!

ila ningekuwa mimi wala nisingehangaika nimepunguziwa matatizo tu kizazi chenyewe hiki:

1.watoto wa kike wanajua mambo bado wadogo!

2.mtoto wa kiume unampa hela akasome yeye ananunua kondom

3.watoto wa kike umalaya na utoaji mimba ovyo hata kama unampa kila kitu!

4.watoto wa kiume ndo ushoga unawaandama!
 
Pole kiongozi usifanye tendo la ndoa mara kwa mara jitahidi kaa hata siku4 then piga moja la kustua then unatulia kwa siku 4 unapiga tena moja la kustua!

Mambo yanaweza yakajipa!!
 
Mimi ni kijana niliyeoa, niko kwenye ndoa sasa kwa miaka tisa (9) sijapata mtoto; vipimo vinaonyesha mke wangu hana tatizo lolote kwenye uzazi-ila tatizo ninalo mimi; nimeambiwa mbegu zinazozalishwa kwangu ni chache, pili hazina uteute utaozifanya ziteleze na kuweza kulifikia yai. Madaktari wanasema hakuna dawa ya kurekebisha hiyo kwani "production site ya viscosity is deady" Ila chakushangaza nina uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa hata mara tano kwa siku na zinatoka vizuri; na zilipimwa ni nzima kabisa tatizo ndio hilo "Uchache na no viscosity" Naombeni ushauri nifanyeje????????

Mkuu mtafute mdogo wako siku mke wako akiwa kwenye joto amwingilie mpate mtoto kuliko kutunza mtoto wa nje ambae si wa ukoo wenu
 
...wakati wa kugegeda inabidi mda unapokaribia kufika kileleni umnyanyue MIGUUU juu - Kichwa chini...then kojoa....zitateleza zenyewe hadi kunakotakiwa (ukifanikiwa uje ukatujuze)

imagesa.jpg
 
ningekuwa mimi,ningesema ``haya ni ajibu ya madaktari``,then ningemgeukia aliyeniumba ningemuumbia,``something need to be repaired``......fasta ningeuliza Jesus where are you?....do the same
Mimi ni kijana niliyeoa, niko kwenye ndoa sasa kwa miaka tisa (9) sijapata mtoto; vipimo vinaonyesha mke wangu hana tatizo lolote kwenye uzazi-ila tatizo ninalo mimi; nimeambiwa mbegu zinazozalishwa kwangu ni chache, pili hazina uteute utaozifanya ziteleze na kuweza kulifikia yai. Madaktari wanasema hakuna dawa ya kurekebisha hiyo kwani "production site ya viscosity is deady" Ila chakushangaza nina uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa hata mara tano kwa siku na zinatoka vizuri; na zilipimwa ni nzima kabisa tatizo ndio hilo "Uchache na no viscosity" Naombeni ushauri nifanyeje????????
 
Mimi ni kijana niliyeoa, niko kwenye ndoa sasa kwa miaka tisa (9) sijapata mtoto; vipimo vinaonyesha mke wangu hana tatizo lolote kwenye uzazi-ila tatizo ninalo mimi; nimeambiwa mbegu zinazozalishwa kwangu ni chache, pili hazina uteute utaozifanya ziteleze na kuweza kulifikia yai. Madaktari wanasema hakuna dawa ya kurekebisha hiyo kwani "production site ya viscosity is deady" Ila chakushangaza nina uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa hata mara tano kwa siku na zinatoka vizuri; na zilipimwa ni nzima kabisa tatizo ndio hilo "Uchache na no viscosity" Naombeni ushauri nifanyeje????????

Ndugu yangu, umeuliza tu ufanyaje lakini hujasema unachohitaji - unahitaji kupona tatizo au unahitaji kupata mtoto ndio unauliza ufanyaje?

Kama ni kweli madaktari wamethibitisha unatoa mbegu chache na zisizo na ute, na kwamba ni kwa sababu 'production site' is dead...nadhani kupona hilo tatizo itakuwa ngumu, au utafute msaada nje ya nchi.

Lakini kama unahitaji tu watoto...nadhani In-Vitro Fertilization (IVF) inaweza kukusaidia. IVF inahitaji tu uwe na uwezo wa kuzalisha mbegu zikakomaa, basi hizo zitavunwa na kurutubisha yai toka kwa mkeo, kisha linandwa kwenye kizazi na mimba inatunga na kukua kama kawaida, na mkeo anajifungua. Mnaweza zaa watoto kadhaa tu kwa njia hii, na wala haikuhitaji uende nje, kwani hii procedure inafanyika hapa Bongo.
 
umesahau kumwambia kuwa hiyo ni probability na anaweza kufanya/kujaribu zaidi ya moja kisha akafanikiwa au asifanikiwe.
 
...wakati wa kugegeda inabidi mda unapokaribia kufika kileleni umnyanyue MIGUUU juu - Kichwa chini...then kojoa....zitateleza zenyewe hadi kunakotakiwa (ukifanikiwa uje ukatujuze)

View attachment 117279

kweli JF has never boring,sasa haya mawazo ulikua unafikiria nini?ha ha ha ha LOL
 
Mleta mada hebu fanyia kazi ushauri wa RIWA naamini huwezi kutoka bure! Ikibidi PM kabisa akupe ushauri wa ziada ambao inawezekana hakuuweka hapa.
 
pole sana mkuu kwa muda wa miaka 9 huna mtoto!
ila ningekuwa mimi wala nisingehangaika nimepunguziwa matatizo tu kizazi chenyewe hiki:
1.watoto wa kike wanajua mambo bado wadogo!
2.mtoto wa kiume unampa hela akasome yeye ananunua kondom
3.watoto wa kike umalaya na utoaji mimba ovyo hata kama unampa kila kitu!
4.watoto wa kiume ndo ushoga unawaandama!

Mkuu lkn c wote bana waweza kuzaa ukabahatisha, c wte wa uzao wako watoharibika
 
pole sana mkuu kwa muda wa miaka 9 huna mtoto!
ila ningekuwa mimi wala nisingehangaika nimepunguziwa matatizo tu kizazi chenyewe hiki:
1.watoto wa kike wanajua mambo bado wadogo!
2.mtoto wa kiume unampa hela akasome yeye ananunua kondom
3.watoto wa kike umalaya na utoaji mimba ovyo hata kama unampa kila kitu!
4.watoto wa kiume ndo ushoga unawaandama!

Mkuu naomba nikuulize kaswali. Ina maana ww hutaoa na kupata watoto kwa sababu hizi ulizozitaja hapa?
 
Pole sana,cha msingi pitisha ata wiki ili mbegu ziwezekuwa nyingi na zenye nguvu pia mwombe sana mungu hakuna lisilowezekana atakupa mtoto siku ikifika,JIPE IMANI UTAFANIKISHA.MUNGU AKUBARIKI
 
Ndugu yangu, umeuliza tu ufanyaje lakini hujasema unachohitaji - unahitaji kupona tatizo au unahitaji kupata mtoto ndio unauliza ufanyaje?

Kama ni kweli madaktari wamethibitisha unatoa mbegu chache na zisizo na ute, na kwamba ni kwa sababu 'production site' is dead...nadhani kupona hilo tatizo itakuwa ngumu, au utafute msaada nje ya nchi.

Lakini kama unahitaji tu watoto...nadhani In-Vitro Fertilization (IVF) inaweza kukusaidia. IVF inahitaji tu uwe na uwezo wa kuzalisha mbegu zikakomaa, basi hizo zitavunwa na kurutubisha yai toka kwa mkeo, kisha linandwa kwenye kizazi na mimba inatunga na kukua kama kawaida, na mkeo anajifungua. Mnaweza zaa watoto kadhaa tu kwa njia hii, na wala haikuhitaji uende nje, kwani hii procedure inafanyika hapa Bongo.
kuna ndugu yangu ana the same problem na nimehisi ni yeye ila sijui jamani yeye alifanya hiyo kitu huko kwa finland anakoishi ikawa probability hakupata sasa ndio amejipanga tena kwa mara ya pili,na siunajua ni hela kwa kweli aisee mtatatizo haya
 
Back
Top Bottom