Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,284
- 9,221
Kuna nyumba niliwahi kukaa ila nikahama ndani ya miezi 4. Nilipohamia nikakaa wiki 2 umeme ukaisha nikaambiwa zamu yako kutoa 20,000 ya umeme hata sikuhoji nikatoa hiyo pesa. Nikakaa baada ya siku 26 nikaambiwa tena zamu yangu nitoe 20,000 ikabidi nicheke kwanza 😂😅 Nikawaambia mara ya kwanza nilitoa 20,000 nikiamini nitakaa hata miezi 3-4 ndio zam yangu ifike (Hio nyumba ilikua na wapangaji 6.) Wakasema hii nyumba inakula sana umeme nikawajibu hata ingekuaje haiwezekani kwa mwezi nyumba itumie umeme jumla 120,000 (kumbe kila wiki ndio ilikua ni zamu ya mtu kutoa 20k mi nilidhan kwa zaid ya mwezi)
Nikawaambia mimi hiyo hela sitoi jichunguzeni wenyew mtakua mna matumiz ya hovyo na vitu mlivyo navyo. Nikawaambia nyie mpo comfortable kutoa 20k kwasabab mna matumiz makubwa, Nikawapa 10,000 Nikawaambia kuanzia leo kwa mwez nitakua natoa pesa hiyo tu tena zifike siku 30 ndio nitatoa. Wakamwambia mwenye nyumba, naye nikamwambia hata iweje siwez kutoa 20K. From there nikawa natoa 10K tu kwa mwezi...
KABLA HUJAHAMIA SEHÉM ULIZA BILL YA UMEME NA MAJI NA UWAAMBIE WEWE MATUMIZI YAKO YATAKUA KIAS GANI.