Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

Hilo tumeshindwa kuelewana!Tatizo hakuna anayeiingia kwenye chumba cha mwenzio sasa uhakika wa kufahamu kama hatumii jiko la umeme na hiyo friji ni ngumu!Kwangu nimemuingiza ndani na kumuonyesha jagi ninalotumia kuchemshia maji ajabu anadai TV yangu ndiyo inamaliza umeme!Kwangu ni kitu kipya!

TV consumption yake ya umeme ni ndogo mno. Jagi la umeme angalau kidogo na sidhani kama linazidi 1500 Watts.
Huyu jirani yako si mtu mzuri, anataka kukuibia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mbinu unaweza kufukuzwa.
Nunua sub meter ni 25k pale kariakoo kama sijakosea ita Fundi umeme mpe kazi akufungie nunua umeme wa 30k weka kisha anza kuhesabu units zako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama una jagi,ni elfu kumi tu kwa mwenzi,au kama vipi nunua ile meter ya kusoma UNITS unazotumia basi,hataweza kukuibia,nilipanga nyumba moja nilikua ninalipa elfu 10(hapo nina jagi tu),nikaja kununua meter separator (hii ya kusoma units) nikakuta nilikua natumia unit 10 tu kwa mwenzi wakati nanunua unit 28,zingine wanatumia watu huko;
baada ya kuweka hiyo meter hata kama ninenunua umeme wa elfu 10 ni mpaka unit zangu ziishe ndio naweka tena;

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hiyo meter separator inafanyaje kazi mkuu? Yani naiconnect wapi na vipi ili iweze kunisomea units ninazotumia kwa mwezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina friji,Tv,pasi Feni Radio,Taa nje na ndani km 10 hivi- Natumi umeme 30000/= per month. Labda kwa vile naishi mwenyewe..
 
Mimi nina friji,Tv,pasi Feni Radio,Taa nje na ndani km 10 hivi- Natumi umeme 30000/= per month. Labda kwa vile naishi mwenyewe..
 
Ni LUKU,mwenye nyumba kadai yeye sh.10000/-anapewa units 28,sasa huyu mpenzi wake ambaye ni mpangaji mwenzangu ndiyo anadai nitoe 30,000/- eti na yeye atoe kama hiyo ndiyo umeme utatosha mwezi,hapo ndiyo nimeshtuka!!

yaan hata Kama mnamatumizi makubwa saana hiyo hela mnaibiwa toa mwisho 10000 wakisumbua saaan hama siyo mji wako huo
 
Ni LUKU,mwenye nyumba kadai yeye sh.10000/-anapewa units 28,sasa huyu mpenzi wake ambaye ni mpangaji mwenzangu ndiyo anadai nitoe 30,000/- eti na yeye atoe kama hiyo ndiyo umeme utatosha mwezi,hapo ndiyo nimeshtuka!!
Huyo moangaji mtongoze tu , hana cha zaidi hapo, anataka kukusumbua tu

kIongOzI Wa BaaDae
 
Kwani hapo mna machine ya kusagia nafaka, toka lini tv inatumia umeme kiasi hicho, au huyo mpangaji mwenzako hata tv flat, tena kama ni mwanamkena wewe ni mwanaume mtongoze mzozo utaisha nanutashangaa hata umeme wa 10000 mtatumia miezi 2

kIongOzI Wa BaaDae
 
Ni LUKU,mwenye nyumba kadai yeye sh.10000/-anapewa units 28,sasa huyu mpenzi wake ambaye ni mpangaji mwenzangu ndiyo anadai nitoe 30,000/- eti na yeye atoe kama hiyo ndiyo umeme utatosha mwezi,hapo ndiyo nimeshtuka!!
Sawa, waambie ww ndio utakusanya hela
 
Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!!!
Mkuu njoo in box nikufugie separates mita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hizo ni units ngapi?Maana nimeambiwa kuwa eti ninatumia units mbili kwa siku!
Alitumia kipimo gani kujua wewe unatumia unit 2, na yeye alikwambia anatumia unit ngapi? Ikibidi mwambie azime umeme chumbani kwako hauuhitaji uone.
 
Back
Top Bottom