Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Acha anidharau potelea pote mi namtaka yeye
 
Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.

Back to the topic. Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo
Ulifanikiwa kunenepa? Kama bado tumia protein powder, watu wa gym wanaelewa. Utajaa ndani ya week
 
Kila siku kula vijiko vitatu vya hamira ndani ya mwezi utakua kma sele bonge
 
Utakuja juta baki namwili wako aisee mie najuta naambiwa na mtoto na sina .
 
Mwembamba anaousema ni kwenye mwili wa kawaida au kwenye dushelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…