Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Pole sana kijana, hapa nimejikuta naganda hata kujiandaa kwa kazi na nikingali bado nakutafakari, tena imenilazimu nianze kupeeuzi "pancreatic cancer stage 4" ili nipate vile inaweza ikakua treated.
Je uliwasiliana na Mzizi@Mkavu ?
Hii ndiyo ilimuua Steve Jobs. Pamoja na kuwekewa ini jipya lakini alikuwa amechelewa kwa kujaribu kujitibu mwenyewe kwa kutumia vyakula, herbs na imani. Ni mojawapo ya kansa mbaya kabisa na ina ukawaida wa kugundulika ikiwa imechelewa kutokana na ukweli kwamba huwa haina dalili zinazoeleweka. Maombi na watu wa tiba mbadala pengine wanaweza kusaidia [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Pancreatic cancer is the fourth most common cause of cancer death. The median survival rate for stage 4 pancreatic cancer is between "two and six" months. Though the disease cannot be cured at this stage, treatment may improve your quality of life

If you’ve been diagnosed with pancreatic cancer, your doctor will first want to find out what stage cancer you have. Staging helps your doctor design the best treatment course. The stage tells whether the cancer has spread within your body, and if so, where it’s located.

Pancreatic cancer is often diagnosed at a late stage because it tends not to show symptoms early on. Stage 4 pancreatic cancer means the cancer has spread to other organs, typically the liver or the lungs. You can’t cure the cancer at this point, but you still have treatment options.
 
Mbele yako nyuma yetu mkuu, kuwa karibu sana na maombi kwa kipindi hicho ili ujiandalie makazi ya peponi, kila kitu kitokeacho duniani Kina makusudi yake kwa Mungu,jitahidi sana kutenda yaliyo mema n'a kutubu dhambi zako, Uzuri wako unajua hatma yako kitu ambacho binadamu wengi hatujui kwa Hiyo wewe umepewa kitu cha Ziada, farewell mkuu, Msalimie sana baba Mungu huko utakapokutana nae juu mbinguni
 
KAKA YANGU MIMI ALIKIWA NA SARATANI YA KOO PALE MUHIMBILI DAKTARI AKAROPOKA HIVI....
"wewe ni wa kufa tu.... huna miezi miwili"

KWA HIYO USISEME MANENO HAYA KWA MADAKTARI WA TANZANIA LABDA KAMA UNATIBIWA ULAYA NA MAREKANI.
 
Mkuu, nimejikuta najaribu kupitia maandishi mablimbali hapa ili niweze kuelwa vizuri hiki kinacho msibu kijana. Pia Asante kwa ufafanuzi
 
Unaheri ndugu kama unajua hataa mwezi wako wakufa, wengi mauti imewajia ghafra hawakupata hata mida wakutengeneza njia zao, muda uliobakiwa nao utumie vizuri kutubia maovu yako na kuishi kwa kujitakasa daima, ili upone hukumu ya milele, maana 1koritho 9:27 inasema kama vile watu walivyowekewa kufa mara moja na baada ya kufa ni hukumu, tengeneza njia yako ndugu.
 
Daah! This is sad lakini.
 
Mkuu wengi mnapenda Yesu wa kukutana haye lakini cyo wakuondoka naye, yaani mnapenda kuombewa cyo ninyi mmpokee yesu maishani mwenu muishi naye mtembee naye, muishi ndani yake naye ndani yenu, tubu dhambi zako muishi maisha ya utakatifu utembee na Mungu hayo maginjwa na maswaabu itakuwa in historia kwako, wachawi na mapepo n takataka.waebrania 2:14-16, hataa mm nbnafs before nili suffer sana, bat nau namshukuru Yesu aliyeniokoa.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nenda Kwa Mchungaji Eliona Kimaro pale Kijitonyama Akuombee, Kama Ni Kupona Utapona kwa Muujiza wa Mungu, Kama Utakufa Utakufa Katika Utakaso huna cha Kupoteza. Usinipuuze! As soon as You read this GO! Najua Mengi, Nimepitia Mengi Nimemwona Mungu Mwenye Kutisha.
 
Uzi huu umenifanya nimkumbuke marehemu mama yangu naye hana tofauti kabisa na maandiko yako, alijua atakufa baada ya miez kadhaa, alijitahidi kusali kwa bidii na naiman yuko mahala salama. Alifariki nikiwa kidato cha tano, hakika sitasahahu maana wiki moja kabla hajafariki aliniita nikaenda kumsalimia sikuamini km ni yeye alikuwa amekonda, sura haionekani vyema kabakiza mifupa tu hakika cancer stage 4 ni mbaya mno alipata maumivu makali chakula akila hakisagwi kabisa kinatoka haja kubwa kama kilivyoingia.

Naelewa maumivu yako ila neno langu kwako ni moja tu, sali omba makazi salama ya kiroho hakika Mungu yuko nawe, nitasali na ww kila siku kila saa naimani utapokelewa palipo salama.
Kila la kheri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…