Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Tutaupata wapi ukweli sasa daah!
Yani natamani hata mm kujua. But ukweli ni kwamba alikua anaumwa mtu hawezi kujibambika ji gonjwa kubwa kama hilo for funny. Mungu amrehemu kama ameshatutoka kama yupo labda yuko na hali mbaya hawezi tena kushika simu. Cancer ina maumivu makali sana kwa mujibu wa wagonjwa huwezi kuyasimulia
 
Jamani[emoji24] [emoji24] [emoji24] ....it pains a lot!
 
hii post umeniumiza kuliko post zote za jf nikisema nisome coment 5 lazima nilie yani mi nikijana nina 24 na ubabe wangu wote lakini naumia kiasi adi machozi lananitoka folk sijui ulipo my brother umeniumiza mno kaka! maamini mungu yuko karibu nawe
 
Pole kaka ,laiti kila mja angejua kuwa atakufa tungeishi kwa upendo 2.

Kuna wengine wanajivunia uzima
 
Naomba kuunganisha thread ya folk na comment ya mgoyojr
Cc: witnessj
 
hii post umeniumiza kuliko post zote za jf nikisema nisome coment 5 lazima nilie yani mi nikijana nina 24 na ubabe wangu wote lakini naumia kiasi adi machozi lananitoka folk sijui ulipo my brother umeniumiza mno kaka! maamini mungu yuko karibu nawe
Nakuelewa mkuu, ila ndio ukweli wa maisha yetu hapa duniani tunaishi kwa wakati na kila mtu na muda wake, ila kujua kuwa una miezi minne ya kuishi is very painful and complicated popote ulipo brother Mungu awe na wewe.
 
maelezo ya mkuu mgoyojr yana muelekeo flani na folk !
tatizo lililomuua huyo rafiki yake...umri wa marehemu... na hata mda aliokufa!

siwezi sema kama folk ndio huyo patrik ila wanashabihiana sana.

Dah!

Nalog off ...kwanza...
Mkuu, kabla hauja log off....
Naomba kuunganisha mkono kwenye hii hoja
 
Pole, kwa muda na umri na tatizo 'huenda' mtoa uzi akawa muhusika 'huenda'
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…