Ingia kwa browser. Usitumie jf application, maana inaumwaBado hazijafika mkuu Sasa sijui tatizo Nini, halafu pm yangu ya JF sijui ikoje naweza tumia meseji au ujumbe leo nikaupata kesho Sasa inakuaje wakuu Nini tatizo....
[emoji125] [emoji23] haya mkuuIngia kwa browser. Usitumie jf application, maana inaumwa
Da #witnessj naomba unitumie na mie hiyo picha ili nisali kwa ajili ya mdogo wangu. Ooh God, cancer is so bad!! Mungu na ampe pumziko takatifu.Done mamito!
Nam naomb unitumie pmUmeziona mkuu?
Mkuu naomba nitumie nammRe -check mkuu
Tunaotarajia marejeo ya Kristo mara ya pili kuwafufua watakatifu wake, tunaimani tutaonana naye tena asubuhi ile njemaMitayari nimezipata info zake, jamaa zake pia nimewasiliana nao na hata picha zake nimezipata mkuu....
Na inasemekena jamaa alikata pumzi huku akiwa mwenye tabasamu, na waliokua karibu nae wanasema nikama alikua mwenye amani na tayari alimrudia Mungu wake
Hiyo done iwe na kwangu pia mkuu tafadhaliDone!
Aliaga wapi mkuu?Kama ndiye, apumzike kwa amani!
Alipata ujasiri wa kutuaga, Ooh Mungu amrehemu!
Huyu dogo sidhani kama yupo kwenye sayari hii,Mungu amuweke salama huko aliko popote kama bado duniani ama ahera.
mkuu naandika haya nikiwa nabubujikwa na machozi, kwanza nianze kwa kumtukuza Mungu kwa uumbaji wako, niseme kwamba Mungu hakeagi kila jambo linatendeka kwa waja wake lina maana yake, naamini kwamba Mungu bado anakuhitaji kuwa mtumishi wake endelea kumutukuza kuna siku utajua ni kwa nn haya yatokee juu yako, naziona mbingu zimefunguka juu yako na malaika wema wamejipanga kukuketisha katika kiti cha enzi,Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Na mimi naomba dada.Sawa..
Mimi sio mkuu. Mimi ni babu!Re -check mkuu
Usisambaze picha za marehemu bila ridhaa yake mkuu, ni injustice and a crime.Hapa sio sawa mkuu, labda nikutumie PM
Naomba na mimi nitumieDone mamito!
Naomba picha zake.huwezi amini nimejiunga Leo jf bz ya huyu kaka.kaniumiza mno.huwa naingia Mara 7-10 jf ila sikuwa memba.nilifuatilia hii post siku nyingi.ohhhhh God heal my painIngia kwa browser. Usitumie jf application, maana inaumwa
New #1,003Kwakua alijua kuhusu kifo chake, na hakuamua yeye binafsi kuweka picha zake humu.... Basi nadhani nivyema tukayatendea haki mawazo ama maamuzi yake.....
Pole sana mkuu,kaondoka bado mdogo sana jamaa.Mungu amrehemui lost my friend nilisoma nae shaaban robert anaitwa Patrick Kibwana alifariki tarehe 22 June mwaka huu kama sikosei . Age 28 alikuwa na amefariki kwa Cancer ya Kongosho sasa sijui huu uzi ni wa nani . but i miss kaka yangu bestie yangu wa darasa Patrick Kibwana. forever love bro . love u
Mkuu naomba nitumie nipate kumuona piaah japo otanitia huzuniAisee inauma sana nimemuona ni kijana mdogo sana na mtanashati, may his soul rest in eternal peace