Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,896
Jamaa ameenda bablai,kuna post yake{ukiangalia ktk profile yake utaona ana post mbili tu}sasa ile ya mwanzo kuna sehem alijieleza kidogo anavyojaribu kuishi na watu.hakika ameacha legacy kubwa sana kwa jamii iliyomzunguka.Daah! aisee kamanda folk ndio ameenda
Mcheshi,mtulivu anajaribu kumfurahia kila mtu,pia hakuwa mchoyo maana kuna baadhi ya wana aliwapa channel mjini.hakika wema hawaishi miaka mingi.