andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Namsifu Ushimen kwa hekima zake tangu mwanzo wa uzi huu, amekuwa na busara sana kwenye coments zake.Exactly mkuu,kwa taarifa hizi na taarifa nilizozipitia binafsi sina shaka na hapana shaka kwamba ndugu yetu folk ameshalala ktk usingizi wake wa milele.
Kuna mtu huko juu anapiga piga kelele kwamba tunasemaje mtu kafa au tunatoaje taarifa za mtu alizokataa kuzitoa mwenyewe toka akiwa hai,huyu jamaa hakuwahi{ukifuatilia post zake}hakuwahi kukwaruzana na mtu humu,hakuwahi kupost ujinga ujinga humu sasa mtu kama huyu kuna ubaya gani taarifa zake zikawekwa hapa?
Ifahamike kwamba yeyote yule akiishavuruga uwepo wake mahali japo ni kwa fake id,kama humu kuanzisha thread za ajabu ajabu au kukwaruzana na watu hovyo ni lazima atataka siku akiondoka yeye basi taarifa zake zifichwe,jiheshim mbele ya jamii utaheshimika na utapendwa na hata wasiyokujua.
RIP folk
Nakumbuka mwanzo kulikuwa na lugha za ajabu sana...
Tumwachie Mungu maana ndiye muweza wa yote