Yah kweli mkuu folk hatunae mimi binafs nimejiridhisha hatunae tenaJamani huyu jamaa kweli alifariki?
Si ameshakufa tunataka tumjuwe tu hizo picha kuziweka huku kuna ubaya ganiLakini yule aliejiweka msemaji wa familia asiendelee kusambaza picha za bwana folk huko PM.
Ameshakufa kuona picha zake siyo kosa ata kidogoUna point nzuri sana... Nashangaa hata baadhi ya watu wasioelewa dhima ya maelezo yako na kuanza kukutuhumu bila sababu. Mimi nilikuelewa toka mwanzo.
JF inazingatia zaidi usiri wa mtu kusambaza au kutoa picha ya mtu bila ridhaa yake ni kosa kulingana na laws and regulations za JF. Sasa hajamkose folk pekee kaukosea hata uongozi wa JF. Ushimen ukongwe wa JF sio kuwa na busara, kwanza ndio maana una mapengo mkuu. Ah ah ah ah ah
Poleni jamani wafiwa, Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema!!Yah kweli mkuu folk hatunae mimi binafs nimejiridhisha hatunae tena
Yeye hakutaka kujulikana hata waliowasiliana nae inbox hakuwapa picha yake, nani tena amepewa wengine haki ya kutoa picha yake? Sijui kama ingekuwa wewe ungefurahi kuona picha zako zinazunguka wakati ukubaliki hilo.Si ameshakufa tunataka tumjuwe tu hizo picha kuziweka huku kuna ubaya gani
Kwani kuna mahali alisema akifa picha zake zisionyeshwe kwa watu imani potofu hizo nimemuona kumbe ni mtu nilikuwa namjua kabisaYeye hakutaka kujulikana hata waliowasiliana nae inbox hakuwapa picha yake, nani tena amepewa wengine haki ya kutoa picha yake? Sijui kama ingekuwa wewe ungefurahi kuona picha zako zinazunguka wakati ukubaliki hilo.
Haki ya usiri iheshimiwe mkuu.
Je marehemu alitoa kibali cha picha zake kusambaa mitandaoni? Alipenda kuwa na marafiki mtandaoni ila hakupenda picha zake zile alizodhohofu zizagae hovyo hovyo. Heshimuni hili wakuu.Ameshakufa kuona picha zake siyo kosa ata kidogo
Mbona hizo picha ajazohofu yupo kawaida tuJe marehemu alitoa kibali cha picha zake kusambaa mitandaoni? Alipenda kuwa na marafiki mtandaoni ila hakupenda picha zake zile alizodhohofu zizagae hovyo hovyo. Heshimuni hili wakuu.
Poleni jamani wafiwa, Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema!!
RAHA YA MILELE UMPE EEE BWANA,,
NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE,,
APUMZIKE KWA AMANI!!
Mkuu pole sana. Kama upo naomba unitext pm. Naweza kuwa msaada kwakoRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Ukiona Hivyo ujue umepata za mwaka 2001 ila ambazo ni current amedhohofu sana na Mimi ninazo hizo akiwa amekonda sana kwanini sijazitoa naheshimu haki ya kuwa na usiri... Right to privacy.Mbona hizo picha ajazohofu yupo kawaida tu
Wewe,muongo sana ata hizo picha una 2001 apakuwa na smart phone mbona picha zake ni self na wapo na washikaji kibaoUkiona Hivyo ujue umepata za mwaka 2001 ila ambazo ni current amedhohofu sana na Mimi ninazo hizo akiwa amekonda sana kwanini sijazitoa naheshimu haki ya kuwa na usiri... Right to privacy.
JF imekuwa home of great sinkers na sio great thinkers tena.
Kashatangulia mbele ya hakiMkuu pole sana. Kama upo naomba unitext pm. Naweza kuwa msaada kwako
sijakutusi,me iam just saying....unajiaibisha...that z it!Wewe pamoja na huyo anayesambaza picha zake ndiyo mnajiabisha. Mimi niko straight foward na jamaa kaambiwa akajifanya yeye ni mwalimu wa matusi! Anajifanya punguani kama wewe!
Alienda na simu au [emoji19]Kashatangulia mbele ya haki
Ndio ukweli end stage ya pancreatic cancer hata simu hawezi kushika mkuu. Hiyo uliona katandika hadi selfie itakuwa ya mwaka arobaini na saba.Wewe,muongo sana ata hizo picha una 2001 apakuwa na smart phone mbona picha zake ni self na wapo na washikaji kibao
Jamani nilalamike??? Duu ,,kulalamika kuhusu nini sasa jamani,,sijalalamika nimesema ,,Mkuu, binafsi hakuna ninacho kijua kuhusu PM.
Na kama wapo unaowaita (walio sambaza) huko PM, basi nivyema ukawaomba wao kuliko kulalamika hapa.