Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
pole mkuu, moyo umeniuma sana
Cancer ya kongosho dah[emoji24] [emoji24] hebu nipeni somo hii Ni cancer ya Aina gani na inasababishwa na nini
Well said...Mungu akubarikiDuh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;
Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it is..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.
Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!
Death is painless ndugu.
Tangulia mkuu, tunakuja!
Candle in the wind.
Love you folk
[emoji120][emoji120][emoji120]Nakuelewa mkuu, ila ndio ukweli wa maisha yetu hapa duniani tunaishi kwa wakati na kila mtu na muda wake, ila kujua kuwa una miezi minne ya kuishi is very painful and complicated popote ulipo brother Mungu awe na wewe.
TB joshua ni tapeli kama matapeli wengineTenda ka TB Joshua na kumwamini yesu utapona, pole sana
Dah, huu uzi huwa unanipa simanzi sana.Kama ni yeye ilikuwa tarehe 22 usiku na alizikwa Kibaha.
Now you believe?Am sorry to say this, but i don't believe you!
dah! R.I.PNilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.