Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Duh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;

Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it was..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.

Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!

Death is painless ndugu.

Tangulia mkuu, tunakuja!

Candle in the wind.

Love you folk
Umesema vema, ila hapo kwenye tangulia sijaelewa, amesema 4 months to come. Do we know anything about a single second coming?
Mtu yeyote anaweza kutangulia
 
Kama hutanii.
Basi bado liko tumaini kama utamtegemea Mungu.
Unaweza kupona kwa kwenda moja kwa moja kwa Mungu.
Ukahudhuria mwenyewe kwenye maombi ya uponyaji.
Angalia mwenyewe Web ya.

" Scoan Cancer Healing Servise "

Kama unamwamini Mungu, aliyeumba mbingu na nchi.

Samahani kwa wale wengine.
 
Be strong ndugu, hakuna ajuaye siku wala saa. Hiyo yote ni siri ya Mwenyezi Mungu, kikubwa muombe Mungu akuponye dhidi ya maradhi hayo, maana hakuna linalomshinda yeye na pia tunapaswa kujiandaa kiroho muda wote.
 
Daaahhhh nayashudia macho yangu yakitokwa machoz kwa namna ulivyoongea kwa huzuni , kuchoka .

Yupo Yesu , Yesu ambaye aliwaponya viwete, Yesuambaye alimponya yule mama baada ya kutokwa nadamu uken kwa miaka 14, Yesu alomfufua Lazaro, Yesu ambaye alikuja kuleta uponyaji nakuwakomboa watu ktk shida,dhiki,umasikin,magonjwa.

Huyu Yesu pekee ukimwamini yeye ,kuna namna fulani tu ataifanya ,kuna namna fulani tu ataifanya kwa ajili yako , ,wenda akakupa uzima huu, wenda akaona mwanangu pumzika uje katika uzima wamilele wenye aman , Wenda Huyu Yesu akakuponya ili uwe shuhuda kwa watu kua Yesu alikuponya .

Sikiliza Rafiki yangu, Baada ya Dhambi kuingia dunian, Kifo kikawa juu yetu kama Adhabu. Hivo sote tutakufa tu, wakati ukiwazia miezi minne ijayo ,maelfu ya watu wanafariki muda huu duniani kote ,, lkn je tufe ktk upande gani?? Uzima wa milele ? Au moto ? ...Mwambie Yesu , Dhambi zangu nmeziweka kwako , namm sasa nipo tayari kwako ,mwambie Yesu.

Huyu Yesu ivi sasa ameketi katika Chumba chake akituombea sisi, wagonjwa tupone, dhambi tusamehewe ,Rafiki am a Christian, nachoweza kusema ni kumwambia Yesu sumbuko lako sababu ,amekuona ukiangaika.miaka yote, sio kwamba hakuoni. Sio kwamba kakusahau LA HASHAA, Anangoja umuite, Ametega masikio na Moyo wake ,Umuite kwa imani , na utakapomuita ATAITIKA TU..Muite Yesu , Mwambie Uliniumba wewe sio madaktar, unajua siku yangu yakufa sio madaktar, unayajua mateso yangu namaumivu nayopata sio madaktar..Muite Yesu , na umwambie.

Wimbo huu ukapate kua farijiko sahihi Moyoni mwako.

1--"Umechoka, je , umesumbuka?
Mwambie yesu , sumbuko lako
Unayalilia yapitayo? Mwambie Yesu sumbuko.lako.

'mwambie Yesu sumbuko lako
Yu rafiki Amini.
Hakuna rafiki kama yeye
Mwambie Yesu pekeee'

2-Je machozi yakulenga lenga? Mwambie yesu sumbuko lako.
Walememewa na dhambi rohon? Mwambie Yesu pekee.

'mwambie yesu sumbuko lako
Yu rafiki amini
Hakuna rafiki kama yeye
Mwambie yesu pekee'

3-Waogopa shida na majonzi? Mwambie yesu sumbuko lako:
Wasumbukia mambo yajayo?
Mwambie yesu peke.

'mwambie yesu sumbuko.lako
Yu rafiki amini
Hakuna rafiki kama yeye mwambie yesu peke'

4-KUWAZIA KIFO KUKUTISHA? Mwambie Yesu sumbuko lako.
Watamania ufalmr wake? Mwambie yesu pekee.

'mwambie yesu sumbuko.lako
Yu rafiki amini
Hakuna rafiki kama yeye
Mwambie Yesu pekee.


Mungu awe Pamoja nawee Ndugu yangu...Miezi minne nihesabu za kibinadamu ,Muite Yesu na Umwambie Sumbuko.lako.
 
Cancer stg 4 bado unaweza kutembea hadi makaburini. Itakuwa siyo cancer ninayoijua Mimi.
Kweli mkuu, kwa cancer stage 4 hata simu huwezi kuinyanyua ila ndugu anaandika kwa ufasaha kabisa. Huenda ni kweli anaumwa ila siyo hiyo stage. Acha kabisa mwili wote imejaa sumu kwa hiyo stage yan huwezi chochote kile!
 
Mkuu kabanga najua kabisa wewe una weza kutoa neno la faraja kwa huyu mwenzetu
NAHUJA, wajua huyu bwana akiweza kujaribu baadhi ya vitu, huwezi jua anaweza kuwa mtoa ushahidi mzuri.

wajua kwa uelewa wangu magonjwa ya kansa haya, mengi ni sababu ya lishe, natamani bwana folk akajibu upande huo. ikiwa utaweza nenda kamuone huyu jamaa anaweza kukushauri katika diet, naamini kabisa katika miezi 4 hii utakishinda kifo kilichosemwa na dakitari wako, naamini hivyo.

piga namba hii 0767 074 124 Dr. Boaz
 
hakuna kitu kizuri kama kujiandaa in inspiritual way, niamini kaka tafuta sana amani katika moyo wako, nakuhakikishia utakufa huku unatabasamu coz things comes with resons huwezi jua kaka ya Mungu ni mengi ,all we are ignorant abt ths,
 
Mkuu kabanga najua kabisa wewe una weza kutoa neno la faraja kwa huyu mwenzetu
NAHUJA, wajua huyu bwana akiweza kujaribu baadhi ya vitu, huwezi jua anaweza kuwa mtoa ushahidi mzuri.

wajua kwa uelewa wangu magonjwa ya kansa haya, mengi ni sababu ya lishe, natamani bwana folk akajibu upande huo. ikiwa utaweza nenda kamuone huyu jamaa anaweza kukushauri katika diet, naamini kabisa katika miezi 4 hii utakishinda kifo kilichosemwa na dakitari wako, naamini hivyo.

piga namba hii 0767 074 124 Dr. Boaz
 
Kwa kweli huu wimbo nami umenifikirisha mpaka nikakumbuka msemo .....UKIMWONA 'NYANI' MZEE, MHESHIMU, KAKWEPA MISHALE MINGI UJANANI....

Mkuu we acha tu,tunapaswa kumwomba sana mwenyezi Mungu tufe vifo vyema na tumwombe atupatie makazi yenye kheri huko aliko
 
Daaahhhh nayashudia macho yangu yakitokwa machoz kwa namna ulivyoongea kwa huzuni , kuchoka .

Yupo Yesu , Yesu ambaye aliwaponya viwete, Yesuambaye alimponya yule mama baada ya kutokwa nadamu uken kwa miaka 14, Yesu alomfufua Lazaro, Yesu ambaye alikuja kuleta uponyaji nakuwakomboa watu ktk shida,dhiki,umasikin,magonjwa.

Huyu Yesu pekee ukimwamini yeye ,kuna namna fulani tu ataifanya ,kuna namna fulani tu ataifanya kwa ajili yako , ,wenda akakupa uzima huu, wenda akaona mwanangu pumzika uje katika uzima wamilele wenye aman , Wenda Huyu Yesu akakuponya ili uwe shuhuda kwa watu kua Yesu alikuponya .

Sikiliza Rafiki yangu, Baada ya Dhambi kuingia dunian, Kifo kikawa juu yetu kama Adhabu. Hivo sote tutakufa tu, wakati ukiwazia miezi minne ijayo ,maelfu ya watu wanafariki muda huu duniani kote ,, lkn je tufe ktk upande gani?? Uzima wa milele ? Au moto ? ...Mwambie Yesu , Dhambi zangu nmeziweka kwako , namm sasa nipo tayari kwako ,mwambie Yesu.

Huyu Yesu ivi sasa ameketi katika Chumba chake akituombea sisi, wagonjwa tupone, dhambi tusamehewe ,Rafiki am a Christian, nachoweza kusema ni kumwambia Yesu sumbuko lako sababu ,amekuona ukiangaika.miaka yote, sio kwamba hakuoni. Sio kwamba kakusahau LA HASHAA, Anangoja umuite, Ametega masikio na Moyo wake ,Umuite kwa imani , na utakapomuita ATAITIKA TU..Muite Yesu , Mwambie Uliniumba wewe sio madaktar, unajua siku yangu yakufa sio madaktar, unayajua mateso yangu namaumivu nayopata sio madaktar..Muite Yesu , na umwambie.

Wimbo huu ukapate kua farijiko sahihi Moyoni mwako.

1--"Umechoka, je , umesumbuka?
Mwambie yesu , sumbuko lako
Unayalilia yapitayo? Mwambie Yesu sumbuko.lako.

'mwambie Yesu sumbuko lako
Yu rafiki Amini.
Hakuna rafiki kama yeye
Mwambie Yesu pekeee'

2-Je machozi yakulenga lenga? Mwambie yesu sumbuko lako.
Walememewa na dhambi rohon? Mwambie Yesu pekee.

'mwambie yesu sumbuko lako
Yu rafiki amini
Hakuna rafiki kama yeye
Mwambie yesu pekee'

3-Waogopa shida na majonzi? Mwambie yesu sumbuko lako:
Wasumbukia mambo yajayo?
Mwambie yesu peke.

'mwambie yesu sumbuko.lako
Yu rafiki amini
Hakuna rafiki kama yeye mwambie yesu peke'

4-KUWAZIA KIFO KUKUTISHA? Mwambie Yesu sumbuko lako.
Watamania ufalmr wake? Mwambie yesu pekee.

'mwambie yesu sumbuko.lako
Yu rafiki amini
Hakuna rafiki kama yeye
Mwambie Yesu pekee.


Mungu awe Pamoja nawee Ndugu yangu...Miezi minne nihesabu za kibinadamu ,Muite Yesu na Umwambie Sumbuko.lako.
ubarikiwe kaka, nadhani ujumbe huu utamfariji kaka yetu, hata sisi pia ambao hatujui nini hatima yetu hapa duniani
 
kama una imani Mungu yupo jaribu Maombi nenda Tanga majestic hall kuna ministry inaitwa shiloh utarudi ukiwa mzima watu wenye HIV wanapona sembuse ww Mungu atakukuponya
Hiyo ministry haipo kwa sasa jamaa alishahama
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Mungu akuvushe ktk huo mtihani, mkabidhi BWANA maisha yako, anaweza kukuponya, na hata kama hatakuponya uwe mikononi mwake kwani Biblia inasema HERI WAFAO KTK BWANA

Vv
 
Inaumiza jamani , Mungu akutendee muujiza ukawe na maisha marefu zaidi ya hyo miezi 4. Amina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom