Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Bure kama leo ibada ipo hapo vinyago mwenge anaweza kwenda hapo nauli yako tu
Mi shawahi kuumwa vtu vya ajabu had daktari akasema sifiki mchana chakushangaza licha ya tiba ya dr hali ikawa tete siku nimeenda maombi nikashangaa maumivu yote yakayeyuka kuna magonjwa wengine yakipepo aisee
 
Mkuu mimi nikuhakikishie tu....baada ya hiyo miezi minne hautakufa....narudia tena hautakufa...cha msingi we endelea kutumia dawa....utakufa siku mungu aliyopanga...nasubiri kwa hamu maana nauhakika baada ya miezi minne utarudi hapa kuja kutushuhudia...mkuu mkabidhi mungu maisha yako na jisikie raha....hautakufa mkuu niamini mimi
 
Mi shawahi kuumwa vtu vya ajabu had daktari akasema sifiki mchana chakushangaza licha ya tiba ya dr hali ikawa tete siku nimeenda maombi nikashangaa maumivu yote yakayeyuka kuna magonjwa wengine yakipepo aisee
Ndiyo hivyo magonjwa mengine yakipepo kabisa, yaani asikate tamaa achukue hatua Mungu anaweza yote kwake aaminiye
 
Mtumaini Mungu, kwann kumtegemea mwanadamu na mawazo yake? (daktari), from your power of subconscious mind ongea na Mungu atakuponya
 
Ndiyo hivyo magonjwa mengine yakipepo kabisa, yaani asikate tamaa achukue hatua Mungu anaweza yote kwake aaminiye
Kabisa mami vipimo vya daktari vikishindwa hapo lazima kutafta maombi
 
Nimekosa cha kuseama, ila Mungu wetu ni mwaminifu hakika hataacha unabii wa binadamu ukamilike isipokua jina lake lihikidiwe, mshirikishe Mungu hatakuacha mkuu
 
Pole sana,shika sana Mungu wako kwa maombi na sala bila kukoma,you definetly won't die,hivyo ni vitisho vya shetani lakini pia kumbuka kuwa ni Mungu ndiye aliekuumba wewe na si Shetani hivyo ni Mungu pia atakayepanga hatima yako..
 
Mkuu umewasaliana na Mungu?? Mkuu kuwa na imani wao wamefikia mwisho mwachie Mungu atende yake sasa
 
Kabisa mami vipimo vya daktari vikishindwa hapo lazima kutafta maombi
Hakuna kingine zaidi ya maombi shetani anambinu hatari yaani amshinde tu asikate tamaa ndugu zake angesoma haya wakamsaidia
 
Mungu pekee ndie anayejua siku ya kufa, kuwa na imani. Nakumbuka yule mwanasayansi ambaye ulikwekwa uzi hapa aliyekuwa ameambiwa atakufa mapema lakini ameishi miaka mingi. Hofu ondoa, utapona na utaendelea na maisha yako hapa duniani
 
Warumi 14: 6-9, sisi wote ni waja wake, tukiwa hai au marehemu.
Ishi vyema mpaka mwisho wa safari yako, utakapoenda kuungana naye, amekupa nafasi ya kujua lini ndio mwisho wa wakati wa hapa duniani.
Wengine kwa imani tunajua siku yeyote nasi tutafariki, kwani kila kiumbe kilichozaliwa, lazima kupitia mauti. Ila kwa kuwa hatujui siku wala wakati gani, basi tunajisahau, pengine tutaondoka mapema hata kabla yako na tukiwa hatujajiandaa. Mshukuru muumba kwa yote na kumtegemea kwa yote!
 
Ushauri mwingi umepewa, nami nakupa pole saana nakuombea kwa Mungu mapenzi yake yatimizwe.

Nilipewa no hii 0754569907 anaitwa Peter niliaminishwa ni MTU anayefahamu tiba ya magonjwa yaliyoshindikana.

Ni kujaribu .
 
I miss my friend O.,,, the crew misses you homie,, since, our nursery school days till we graduated, we were more than family....
O died of pancreatic cancer in India in 2015..
U have reminded of him,,,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom