Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,546
- 10,793
[emoji23] thread ya huzuni ila we umenifanya nichekewalikua wanataka tu upunguze ubonge huwez kufa kwa maneno ya watu Mungu ndo anajua utakufa lini
[emoji23] thread ya huzuni ila we umenifanya nichekewalikua wanataka tu upunguze ubonge huwez kufa kwa maneno ya watu Mungu ndo anajua utakufa lini
AminaMkuu naamini kuna siku utakuja kutoa ushuhuda !! Hapa
Uponyaji unafanywa bure au mnataka kumpiga kirungu tu huyo kijana?kama una imani Mungu yupo jaribu Maombi nenda Tanga majestic hall kuna ministry inaitwa shiloh utarudi ukiwa mzima watu wenye HIV wanapona sembuse ww Mungu atakukuponya
Nimepita huko loooh watu wana maneno hii dunia !!Halafu kuna wataalam wa maneno walimkogesha nayo…sad.
Bure kama leo ibada ipo hapo vinyago mwenge anaweza kwenda hapo nauli yako tuUponyaji unafanywa bure au mnataka kumpiga kirungu tu huyo kijana?
Hata mi nashangaa huyu daktari mbona kamtamkia mgonjwa straight to the point akijua kabisa Maneno huumba hatakama Hana uhakikaDaktari sitegemei kama anaweza kutoa majibu ya aina hiyo kwa mgonjwa! Kuna lugha fulani ya jinsi ya kuhudumia na kutoa majibu kwa mgonjwa si rahisi rahisi namna hiyo. Watu wa kuhudumia wagonjwa wa ishi kwa matumaini wanalijua hili iweje daktari aliyesomea miaka mitano?
Nilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
Ndugu zangu,
mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote we never give u
p united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals.
binafsi mimi ndio muhanga na muahthirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu....trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky na mambo mengi mabaya kwa binadamu..there comes a times it feels like the world is upon my shoulder..can't take this shiit no more nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dlhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake ain't fear death!! because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy..
nilikuwa na plan ya kutafuta anyone with the solution kwa maaana ya traditional healer au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama its a waste of time watu nao wamekuwa matapeli tu nowdays..yaani we living in craaaazy time folks!!! nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hoola!!! hell no!! mungu ananitaka mwanae si bure...na he is the master of the people so far so am good to go.....though ukioniona live huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa!! huwezi!
nimetoa dukuduku langu nahisi kama relief flani nimepata...!
kila la kheri wandugu.....
Hebu mara uisomapo hii comment, haraka sana nipe namba yako inbox nina machache ya kuzungumza na weweRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na pancreatic cancer stage 4.
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Bye bye Mother earth.
Mkuu Mungu anakupenda na anamakusudi mema na wewe kuwa na imani hakuna kina choshindikana kwake yeye Mungu akuponye.Nilikuwa ndani ya gari natoka hospitali.