Ibrahim augustine
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 428
- 578
Acha kuongea maneno kama hayo eti nikapumzike unajua umejiandaaje huko!!Nilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
Kifo sio mapumziko
Acha kuongea maneno kama hayo eti nikapumzike unajua umejiandaaje huko!!Nilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
Hivi huyu jamaa yupogi real kweli, nilishaangaliaga shows zake channel 10 watu wanaponeshwa kwa maombi.Yupo hapa dar kama unaenda mbweni aende pale au hata mwenge vinyago wote hao Mungu anawatumia, kifo ni siri ya Mungu basi
Aende pale Mungu ni mwema kwa watu wakeHivi huyu jamaa yupogi real kweli, nilishaangaliaga shows zake channel 10 watu wanaponeshwa kwa maombi.
Usihofu my young brother. Kila siku "tunakufa' bahati nzuri tunaamka au kwa usahihi zaidi tunaamshwa. Hakuna anayefanya jitihada ya kujiamsha mwenyewe. Kama ni kweli daktari anavyosema, basi "ukifa" utaamshwa tu wakati wake ukifika na wakati ukiwa "umekufa" hutajua kuwa umekufa kama vile wakati umelala. Kama wakristo wanavyoamini, waliokufa huwa wamelala tu.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na pancreatic cancer stage 4.
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Bye bye Mother earth.
Kama alivyokushauri mkuu TL.Marandu,nami narudia tena,nenda KKKT Kijitinyama kwa Mch. Eliona Kimaro,nenda na imani yako,naamini roho ya mauti itatoweka.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na pancreatic cancer stage 4.
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Bye bye Mother earth.
[emoji15]Iam in tears ....imeniuma sana,pole folks wangu,natamani niwe rafiki yako japo kwa muda huu mfupi...siku Yangu imeanza kwa majonzi
AiseeeEee Mungu wa huruma sikio kilio na maombi ya mtumishi wako huyu. Sema neno tu na mtumishi wako akapone
Hiyo nguvu ya kuzichapa utaitoa wp?!Mimi daktari akinambia hivyo hapo hapo tunazichapa.
Mimi daktari akinambia hivyo hapo hapo tunazichapa.
[emoji106]
Kwel mamii[emoji26]Pole madaktari sio Mungu kumbuka