Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Nawe ubarikiwe sana mkuu.ubarikiwe kaka, nadhani ujumbe huu utamfariji kaka yetu, hata sisi pia ambao hatujui nini hatima yetu hapa duniani
Nawe ubarikiwe sana mkuu.ubarikiwe kaka, nadhani ujumbe huu utamfariji kaka yetu, hata sisi pia ambao hatujui nini hatima yetu hapa duniani
Yupo yule dogo wa sunderland alikua anaumwa cancer alitabiriwa kufa ndani ya miezi sita na alikufa kweliHapa ndo hua nasema wanadamu wengi hatuna iman kua tunamfananisha Mungu na kiumbe kwa wanao amini uwepo wa Mungu
Sijawai sikia katika maisha yangu kiumbe akamtabiria kiumbe kifo na kikatokea hata wachawi wanatamka lakini hawana uakika na kauli zao
Kifo kipo na akikwepeki na mpangaji ni Mungu sio daktari Mungu akutie nguvu,ila jitahidi kuishi bila madeni na chuki na watu.
Acha kuamini binadamu wenzako, amini Mungu. Hakuna anayeweza kuzuia kifo! Ikiandikwa imeandikwa!Bila kujali kama wewe ni dhehebu gani,kama kama kuna watu ambao wanaweza kukusaidia ukapata USD 3000 KWA HARAKA,Nenda LAGOS Kwa Prophet T.B.JOSHUA.Ninao uhakika more than 100% kwamba T.B.JOSHUA Akikugusa na mkono wake wa kulia mara moja tuu! utapona kabisa na wewe mwenyewe utakuwa a Living testmony.Nipigie kwa no.0784 269805 kwa ushauri zaidi.
Mkuu anaweza kabisa akiwa stage hiyo. Akifika mahali akashindwa hadi kutembea ujue ndio kwa heriKweli mkuu, kwa cancer stage 4 hata simu huwezi kuinyanyua ila ndugu anaandika kwa ufasaha kabisa. Huenda ni kweli anaumwa ila siyo hiyo stage. Acha kabisa mwili wote imejaa sumu kwa hiyo stage yan huwezi chochote kile!
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.