Sawa mkuu, nimewaacha wapite vile....Achana nayo hayo majitu majinga jinga,yanakurupuka kama mabwege.
Mkuu niko kwenye majonzi...please tusiharibu huu uzi![emoji120] [emoji120]Wit mbona unapenda kuutesa ivo moyo wangu jamany,
eb njoo bas niguse japo pindo la dera lako tu na roho yangu itapona
Confirmed?Mkuu niko kwenye majonzi...please tusiharibu huu![emoji120] [emoji120]
Yes mkuuConfirmed?
Hapa sio sawa mkuu, labda nikutumie PM
Maneno ya Hekima SanaDuh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;
Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it is..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.
Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!
Death is painless ndugu.
Tangulia mkuu, tunakuja!
Candle in the wind.
Love you folk
Yaani Ushimen ana kiherehere kama cha anko Steve nyerere kwenye misiba ya wasanii wenzake kwa interest zake mwenyewe.Ujinga ndiyo unakusumbua. Unakimbizana na habari za marehemu utafikiria umegundua dhahabu! Idiot!
Poa tusogee pemben kidogoMkuu niko kwenye majonzi...please tusiharibu huu uzi![emoji120] [emoji120]
Hii ndio busara.Mkuu niko kwenye majonzi...please tusiharibu huu uzi![emoji120] [emoji120]
Mwenyewe angependezwa utambulisho wake kuwekwa hapa? Na picha zake watu warushiane kama mahindi? Habu tujaribu kutumia ubongo jamani. Kwa nini wakati akiwa hai walijaribu kumdodosa atoe utambulisho wake akakataa. Na kama kuvumilia mwambie huyo aliyeanza kubwabwaja afikirie mara mbili!Mkuu macho_mdiliko tuache basi kulumbana kwenye uzi wa mtu hata huyu mwenye uzi wake angekuwa na uwezo wa kuja hapa sidhani kama angependezwa kuona unamtukana mtu hivyo kitu ambacho hakuwahi kukiandika hapa tena upo ktk thread aliyoianzisha yeye inayohusu matatizo yake.
Tuvumiliane tu kaka.
Mkuu nadhani sasa mkubaliane kutokukubaliana kwa kuwa hatufurahii kuona malumbano haya, hata roho ya mwenzetu haifurahii, kama hatukufanya jitihada mwenye thread hata kumsaidia kwa wakati huo, haya maneno ya kulumbana naomba sana sana tuyaache, si busara! Tumtakie heri mwenzetu na tutafakari njia zetu.Yaani Ushimen ana kiherehere kama cha anko Steve nyerere kwenye misiba ya wasanii wenzake kwa interest zake mwenyewe.
Mbaya zaidi anasambaza picha za folk huko PM. Mkuu kama wewe ulivyo hautaki details zako ziwe disclosed basi hata folk nae hakutaka info zake ziwe disclosed in public ukizingatia alikuwa kadhoofu sana kiafya.
Kutoka kwenye chanzo cha uhakika kabisa ninajua folk kashafariki ingetosha wewe kutangaza Hivyo ila kitendo cha kutembeza picha zake PM ni uhayawani usiovumilika. Usirudie tena folk najua hajafurahi na anakuchora tu huko mawinguni. Jiangalie!
Wewe pamoja na huyo anayesambaza picha zake ndiyo mnajiabisha. Mimi niko straight foward na jamaa kaambiwa akajifanya yeye ni mwalimu wa matusi! Anajifanya punguani kama wewe!Mbona kama unajiaibisha braza?
Tafadhali rafiki, naomba nitumie na mimi, nimeguswa sanaDone mamito!
Una point nzuri sana... Nashangaa hata baadhi ya watu wasioelewa dhima ya maelezo yako na kuanza kukutuhumu bila sababu. Mimi nilikuelewa toka mwanzo.Mwenyewe angependezwa utambulisho wake kuwekwa hapa? Na picha zake watu warushiane kama mahindi? Habu tujaribu kutumia ubongo jamani. Kwa nini wakati akiwa hai walijaribu kumdodosa atoe utambulisho wake akakataa. Na kama kuvumilia mwambie huyo aliyeanza kubwabwaja afikirie mara mbili!
Halfu mkuu jamaa aliambiwa kiungwana kabisa. Akatoa matusi mazito! Sasa mtu anayejifanya hamnazo dawa yake na mimi najifanya hamnazo!Una point nzuri sana... Nashangaa hata baadhi ya watu wasioelewa dhima ya maelezo yako na kuanza kukutuhumu bila sababu. Mimi nilikuelewa toka mwanzo.
JF inazingatia zaidi usiri wa mtu kusambaza au kutoa picha ya mtu bila ridhaa yake ni kosa kulingana na laws and regulations za JF. Sasa hajamkose folk pekee kaukosea hata uongozi wa JF. Ushimen ukongwe wa JF sio kuwa na busara, kwanza ndio maana una mapengo mkuu. Ah ah ah ah ah
Lakini yule aliejiweka msemaji wa familia asiendelee kusambaza picha za bwana folk huko PM.Mkuu nadhani sasa mkubaliane kutokukubaliana kwa kuwa hatufurahii kuona malumbano haya, hata roho ya mwenzetu haifurahii, kama hatukufanya jitihada mwenye thread hata kumsaidia kwa wakati huo, haya maneno ya kulumbana naomba sana sana tuyaache, si busara! Tumtakie heri mwenzetu na tutafakari njia zetu.
Umempa maneno yake vizuri sana. Watu wa aina yake sio wa kuwafumbia macho. Ingetosha kujua folk kafariki lakini yeye kaenda mbali hadi kutoa picha zake. Shame upon you Ushimen a big boy like a toy. Siku nyingine usirudie hii.Halfu mkuu jamaa aliambiwa kiungwana kabisa. Akatoa matusi mazito! Sasa mtu anayejifanya hamnazo dawa yake na mimi najifanya hamnazo!