Nimeamini Arusha ni ngome ya CHADEMA. CCM tuachane nayo!

Wewe jini wa CCM nikuulize Lowasa alikuwa CCM au CHADEMA?

ACHA UMALAYA WA KISIASA
umepanic ee πŸ’

uchungu nae mlitoa wap kwenye mazishi πŸ’

Relax bas mihemko sio deal
 
Hata msipoipigia kura CCM, mkae mkijua kuwa CCM ndio inaenda kuunda serikali 2025 πŸ’
Nyie ni wezi, Hilo linajulikana wazi.

Dawa yenu inachemka tumbili nyie...maana naona siku hizi wengi wenu kila mkiweka bandiko mnamalizia na code ya tumbili.
 
CCM ipo Dodoma TU maeneo mengine inalazimisha
 
Ngome ni kule ambako wananchi wengi wana uelewa mkubwa na hawaogopi kuonesha wamechoshwa na mambo ya ovyo serikalini.
Wananchi wanoa andamanishwa na kuambiwa sababu za kuandamana wanakuwaje ngome? Wananchi ilipaswa waandamane wenyewe hapo ungesema wanauelewa.

Tatizo lenu nyie hamna agenda zinazowagusa wananchi moja kwa moja, agenda yenu kuu ni tume huru za uchaguzi na katiba mpya vitu ambavyo wananchi wengi wa kawaida hawavielewi. Hizi agenda za sukari na mchele kuwa juu mmezidakia tu juu kwa juu leo vikishuka bei mnakosa agenda na waandamanaji.

Kosa kubwa mlilolifanya maishani mwenu ni kutokufanya kazi na JPM, kumtukana na kumkejeli pale alipokuwa akifanya mambo ya kuwagusa wananchi. Walau hata mngekaa kimya kuliko kumtukana, leo hii naamini mngekusanya wafuasi wengi sana kutoka ccm maana wangekuwa wanawaamini. Lakini kwa zile tabia zenu tulizoziona enzi za JPM ni bora ccm wakaendelea kutawala. Hatuwezi kuwa na chama cha siasa ambacho viongozi wake ni kupinga maendeleo tu na kutaka tufungiwe ndani kisa corona. Kiongozi bora bora ni yule aliyetayari kufa kwa ajili anaye watawala.
 
Arusha hawako tayari kurudi nyuma,hatajasahau fujo za Lema slipikuwa Mbunge.Arusha si mahali pa majaribio
 
Labda Arusha Mjini.Lakini hicho chama kitashikaje Dola Kwa kuwa na ngome kwenye vimiji vichache wakati over 65% ya watu wanaishi Vijijini?
 
Labda Arusha Mjini.Lakini hicho chama kitashikaje Dola Kwa kuwa na ngome kwenye vimiji vichache wakati over 65% ya watu wanaishi Vijijini?
Naomba utusaidie ufahamu kidogo ndugu Muandikaji;
Kwa nini maeneo waliyojaa watu wasio elimu ya kujua hata maisha yao, masikini na mbumbumbu ndio kuna uungaji mkono wa CCM wakati kule kwenye uelewa mkubwa na elimu, kipato kinatafutwa kutumia fursa zilizopo nk ndiko CCM haikubaliki kabisa bali vyama mbadala hasa hasa Chadema?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mkoa wa Njombe una umaskini upi? Dodoma Ina umaskini upi? Huko Arusha kumejaa maskini na wavuta bangi wasio jielewa wamepata kipi chini ya Chadema Kwa miaka 20 plus? Wapumbavu
 
We hizo bangi utaacha lini. Huyo mvuta bangi mwenzako mwambie agombee kwao uchagani
 
Kitu pekee kitakachofanya jimbo la Arusha mjini liende CHADEMA ni pale CCM itakapoweka mgombea dhaifu hivyo kuleta hujuma miongoni mwa wanaCCM wasio waaminifu. Arusha mjini sio ngome ya CHADEMA. Angalau ungesema Karatu kwasababu wao tangu 1995 walichagua upinzani tu wakati Arusha mjini upinzani ulianza 2010
 
Hilo halina ubishi
 
Yaani kama unapendwa siku zotw mambo yanajipa tu hakuna kutumia nguvu.
 
Picha kidgo hata Sisi tulioko huku mtari wa mbele wa mapigano karibu na Avdiivika tujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…