Nimeamini Arusha ni ngome ya CHADEMA. CCM tuachane nayo!

Hivi unaelewa maana ya ngome? Au wananchi wamechoshwa na baadhi ya mambo ya serikali?
Nielezee mimi maana ya ngome na pia mambo gani ambayo ni baadhi ,wananchi wamechoshwa nayo, nielezee nini mafanikio ya serikali ya ccm kwa miaka zaidi ya 60 iliyotawala nchi yangu, elimu shida na quality yake imeporomoka mno (royal families watoto wao chuo wapo Canada,UK, US, wits University etc etc na sio UDOM),umeme shida, sukari hakuna, barabara mbovu, nipe fanikio lolote lile la ccm
 
Hata mkijumuika kaskazini yote muwe chadema haisaidii kitu, sisi wana kanda ya ziwa, magharibi, kati, kusini na pwani yote kwa ujumla+Zanzibar na tanga ni ccm.
 
Hata mkijumuika kaskazini yote muwe chadema haisaidii kitu, sisi wana kanda ya ziwa, magharibi, kati, kusini na pwani yote kwa ujumla+Zanzibar na tanga ni ccm.
Unaongelea kanda ipi ya ziwa? Labda kifuani kwako.
Kwa huu ugumu wa maisha unaochagizwa na wizi wa mali za umma, ni punguani tu ataiunga mkono ccm
 
Moshi ni zaidi ya ARUSHA.
Priscus Tarimo mbunge wa Moshi mjini hajui hata majukumu yake, anazurura kugawa mitungi ya gesi kutoka kwa Rosta Hasisi na kuzindia miradi ya serikali.
 
Unaongelea kanda ipi ya ziwa? Labda kifuani kwako.
Kwa huu ugumu wa maisha unaochagizwa na wizi wa mali za umma, ni punguani tu ataiunga mkono ccm

Wewe ni msukuma kweli? Au ni mtu wa kaskazini unaishi kanda ya ziwa?
 
Wasalimieni huko hao watani wangu..natumaini mtakuja na Jambo zito sana Mwongozo Mpyaa wa UKOMBOZI

Arusha tupo standby kwa Lolote!!!
Mkitaka chama chenu kiendelee, basi epukaneni na udini, ukabila na ubaguzi japo sio wote wanachadema wana elements hizo

Mfikishie na myahudi mweusi LEMA aache udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…