Nimeamini hakuna anaekujua zaidi ya wewe

Nakupata mkuu, safari sio rahisi. Maumivu Huwa ni hasa Kwa watu wa karibu. Wanaona kama unawadharau na kuwatenga, ila trust me it's what they thought was right for you. Ndo maisha yenyewe mkuu, irnabidi utembee peke yako
 
I’ve closed the door to anyone who brings negative energy into my life
Not all negative energy is essentially bad, some is to push you

Wewe week tu
Pole kutana na wataalamu
Sio week Moja. Huwa inakuwa back and forth, ila hii imekua extreme sana..wataalam walisema hakuna changamoto. Ni pattern na ratiba za usiku ila nikijaribu nafanya Kwa muda then narudia tena Vp ww? Umesema limekua sugu. Ulifikaje hapo?
 
Ni sawa na hayo ni maoni yako.
 
So, ni Bora kuishi katika maumivu ndani ili kusurvive sio? Sidhani kama ni sawa kuishi hadi kufa namna hiyo
 
Not all negative energy is essentially bad, some is to push you
Kwa upande mwingine ni kweli
Ila kua na limit ya kupokea vitu ni bora zaidi
Sio week Moja. Huwa inakuwa back and forth, ila hii imekua extreme sana..wataalam walisema hakuna changamoto. Ni pattern na ratiba za usiku ila nikijaribu nafanya Kwa muda then narudia tena Vp ww? Umesema limekua sugu. Ulifikaje hapo?
Ni story ndefu siwezi kuandika hapa but kuna issue ilitokea ikanilazimisha kua macho / kutokusinzia usiku

Naona mwili na ubongo vikapokea mabadiliko so nimejaribu weee naona inakua ngumu ila naendelea kujaribu tena na tena kulala vizuri kama mwanzo
 
Hii issue ni psychological au physical?
 
Duh ila haikuaffect physically? Na unauna itajirudia au umepata changamoto ya mwili?
Mi hata sioni tatazo heb ngoja tuone uko mbeleni itakuaje

Ila kuna sehemu Whenever I go there, I sleep like a baby πŸ˜…πŸ˜…
 
Endelea kujifunza.
Ukienda deep utagundua kuwa hata wewe hujijui
Na ukienda deep zaidi utagundua kuwa hata wewe haupo,
hicho kitu unachomaanisha ukisema "mimi" Hakipo, ni illusion.
 
Endelea kujifunza.
Ukienda deep utagundua kuwa hata wewe hujijui
Na ukienda deep zaidi utagundua kuwa hata wewe haupo,
hicho kitu unachomaanisha ukisema "mimi" Hakipo, ni illusion.
Kwamba ni mkusanyiko wa mawazo tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mi hata sioni tatazo heb ngoja tuone uko mbeleni itakuaje

Ila kuna sehemu Whenever I go there, I sleep like a baby πŸ˜…πŸ˜…
Wapi huko? Hiyo ni accomodation ya usingizi ulopotea. Au unamaanisha wamekuchezea?
 
Ukiwa na pesa huwezi kupata usingizi. Mipango huwa mingi kwa kichwa.

Watu pekee wanaofaidi usingizi ni watoto na wavivu ambao wao Wanasubiri Mungu awabariki..!!
 
Endelea kujifunza.
Ukienda deep utagundua kuwa hata wewe hujijui
Na ukienda deep zaidi utagundua kuwa hata wewe haupo,
hicho kitu unachomaanisha ukisema "mimi" Hakipo, ni illusion.
Hii mentality haina manufaa, if everything is an illusion. At least make yours pleasurable.
 
Ukiwa na pesa huwezi kupata usingizi. Mipango huwa mingi kwa kichwa.

Watu pekee wanaofaidi usingizi ni watoto na wavivu ambao wao Wanasubiri Mungu awabariki..!!
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…