Tumieni condomNisipokutia mimba mwaka huu shukuru sana maana unawashwa kila ukiona comment yangu
Sent using IPhone X
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumieni condomNisipokutia mimba mwaka huu shukuru sana maana unawashwa kila ukiona comment yangu
Sent using IPhone X
Na ukiwa mwaminifu hata benki huendi. Suppliers wanakupa mzigo hadi unakataa. Hapa inabidi niwalipe suppliers, nafikiria na hali hii niwalipe what if tuki-lockdown kesho itakuwaje. Nisipowalipa naharibu credit score soon nitapoteza credit facility. Nina siku mbili za kuamua.
Unachekesha wewe
Kwetu ni Tarime mkuu ,karibu sana
Nakataa.
Wale wanaouza chakula uwanja wa ndege? Niambie kama sasa hivi wanauza? Wale waliokuwa wanatender za kuwapikia kampuni za watalii au wafanyakazi utalii? Wale wa macatering na wapishi wa masherehe.
Yaani hii ya msosi ni mule mule tu.
Kama mtu alikuwa anakul akwa mama ntilie asubuhi chai chapati mchana na usiku.
Sasa hivi atakuwa anagusa hapo mara moja au mbili kama akiwa hajajiongeza kuchemsha mwenye msosi kupunguza gharama.
Aisee Bora yako hata mavuno huenda yanakaribia, mi ndyo naenda kuanza ,hii Corona hii😪😪Unaakili sanaa mimi nshakimbia kitambo mjini nalima zangu mahindi kilosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii thread imenigusa sana. Wajasiriamali ni watu yatima hasa hawa wanaochipukia . Kwa TZ hatuna Serikali. Rais naye yuko pale kama mwajiriwa tu.. anamtegemea Mungu ..yani he cant think, he cant take advice, he cant impliment any precautions, na alipuuzia hadi tumefika huku.
Shit!
nimemaanisha nafaka sio vyakula vilivyopikwa, kwa aina hiyo hali ni tete sana ila kwawauza nafaka wanauza japo si kwa wingi ila wanauza.
Ndugu uko sahihi kabisa. Hiyo biashara ni nzuri sana.
Tunaoumia ni sisi wajasiriamali wadogo wadogo tulioanza hauna akiba hauna side business maana mpaka isimame biashara moja ndo uanzishe nyingine. Sasa kabiashara kenyewe corona kameigusa yaani
Wenzetu wakenya mabenki yameambiwa na raisi wao yapunguze riba za mikopo serekali yao pia imeenda mbali kwa kupunguza kodi ili ku easy the situation...Serikali ingefaa kutoa tamko ifanyeje kuwanusuru wafanya biashara na wale wenye mikopo. Baadae kutazidi kuwa kugumu. Ila ipo siku yatapita
Sure mkuu,Dah!..acha tu mkuu, tuombe hili janga lipite turudi mzigoni.
kichwa kinagoma kufikiri. Binafsi nimeamua kuiachia nature tu yenyewe iamue.
Dah, mzabzab umeni-attack mbaya mzee, ilà sio vibaya, haya ni maoni yako nayaheshimu bila shida. Nimefanya hivyo kwa miaka miwili na matokeo yake kwangu ni positive. It doesn't matter where the money comes from, unawekeza 10mil, unaweza kukopa 3x ya hela uliyowekeza, unafanya miradi yako na maisha yanasonga. Kwako mke anaweza kuwa wa "kugegeda" tu, kwa wengine ni life partner, hiyo ndio tofauti yetu mkuu mzabzab.
Dah! Yaani acha ndugu yangu wengine tumeajiriwa lakini pia tunajihusisha na ujasiriamali na uwekezaji nje ya kazi zetu sasa hii kitu imekuja kuharibu kila kitu ni hasara juu ya hasara na wazee wa microfinance kila siku wanapiga simu wanataka marejesho yao yaani hawaelewi kabisa,.. Kiukweli ngoja tuone hadi mwisho.Well hii thread ni kwa ajili ya wote tuliaoathiriwa kiuchumi directly na corona. Najua kila mmoja atakuwa ameathirika kwa level yake lakini nawaongelea wale waliopigwa pigo takatifu. Mfano anayefuga kuku wa kizungu atapeleka wapi na alikuwa anategemea watu wa catering kwenye mashughuli, watu wa catering na mapambo jamani eeee ndo hivo tena tupige goti tu naimani Jehovah adinai atatusikia.
Kuna wale wanaofanya biashara za importation na exportation jamani poleni sana wenzangu hiki kilio chetu sote.
Hotels, wafanyakazi na wajasi wnaotegemea watalii.
Wamiliki wa mashule jamani mbaya zaidi kipato hakuna lakini lazima ulipe mikopo ya bank na ulipie fixed costs.
Wauza uji mihogo n. K mashuleni poleni sana.
Sasa usiombe corona ikuathiri kwa kiasi kikubwa na huku una mkopo sijui bank sijui microfinance haloo hao watu wanajifanya kama vile hakuna kinachoendelea wao wanataka rejesho tu ilihali mikopo wamesitisha na pengine hata wao mishahara wamepunguziwa kwa kiasi fulani ila sasa kwa kupiga simu na kudai hao balaaa.
Kama mimi mkurugenzi na muanzilishi wa kampuni ninalia lia njaa fikiria wale wa chini yangu hali ikoje?
Shughuli za uzalishaji hakuna lakini fixed costs kama hela ya pango na ulinzi lazima nilipie natoa wapi mimi hizo ilhali sizalishi?
Binafsi nimefunga ofisi nimefunga na nyumba nimerudi kwa bi mkubwa vijana wa sasa wanasema kurudisha jezi eee ndo nisharudisha jezi hivo.
Na hii ni biashara yangu changa sana niliyoipambania usiku na mchana isimame. Ninmeipambania haswa wanaojua nini nachofanya humu na tuna mawasiliano ya karibu wanaelewa.
Lakini corona imeipenda zaidi.
Ooo kuna watu watakuja na sera zao hapa huna saving sijui akiba uncertainties bla bla nyie ndugu kama ninavyosema kujiajiri ni kugumu sana hasa kukuza biashara jamani ukisema utoe laki uweke akiba unawaza hii laki si nikinunua kitendea kazi fulani kitasaidia mauzo yaongezeke? Basi unachukua ile hela unaongeza vitendeo kazi.
Wajasiriamali na wafanyabiashara mliokuwa kwenye game mda mrefu hongereni sana na SHIKAMOOOOONI maana najua mmevuka vizingiti vingi.
Wale jirani zangu jamani nishatoka kijijini nimerudi mjini kwenye ugali wa bure mnaweza kuja tu kunisalimia.
Wewe hauna mke.
Unao wa kugegeda wasio na idadi.
Mambo ya mke na mume waachie wenyewe.
Asante mkuu hili litapita tu ila ndio tutakua tumechakaa 😂Kwa kweli sisi wakurugenzi uchwara tunaisoma no.
Pole sana mkuu kwa mnada.
Kwani kutokuwa na mke ndio inamaanisha siwezi kujua jinsi yakuishi na mke
Mbona daktari anafanya upasuaji wa moyo pasipo yeye mwenyewe kutokuwa na ugonjwa wa moyo
Mengi tuu nayajua... Hapo wala huniambii kituKwenye swala la mke huna unachokijua tujadili tu suala la corona hapa.