Rubawa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 2,055
- 3,254
Mwenzi wa 11 mwanzoni nilimaliza mkopo wa mil 20 EFC BANK Afisa wngu alikuwa amenipa offer ya mkopo mwingine wa mil 40 au 50 lkn biashara zenyewe niliona zipo slow sna nikakataa nikachukua hati ya kibanda ni kaweka ndani kumbe mbele Kuna balaa nzito sijui ingekuwa je na balaa ili mungu mkubwa sna...Walioniacha hoi ni watu wa mabank.
Mikopo wamesitisha kutoa kwa wateja wenye biashara zilizoathirika kwa asilimia kubwa na hata wanaobahatika kuendelea kuchukua mkopo kiwango wamepunguza.
Lakini kukaa mezani na wateja wao kufanya rescheduling kuona mkopo utalipwaje kwa kipindi hiki hawataki wanadai kwa karaha sana.
Nabaki natoa macho.
Hata wakipiga mnada ni ujinga tu unapoteza wateja na mnada unaweza usifanikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app