TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Nimecheka sana niliposoma ile habari ya watu wa uganda waliowekwa karantini hotelini. Jamaa wameanza kuchakatana humo humo hotelini wanaume wamehama vyumba wamehamia kwa wadada..!!😂😂Hata kwenye dhiki ya namna gani uchakataji papuchi uko palepale tu. Labda kama wewe mwenyewe utasitisha zoezi