Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Walipe.
Ili waendelee kukupa mali kauli.
Mie mwenyewe hapa upepo ukikaa sawa ninaenda kuchukua mali kauli narudi mzigoni.
 
Aiseee hii nimecheka sana q
Nimecheka sana niliposoma ile habari ya watu wa uganda waliowekwa karantini hotelini. Jamaa wameanza kuchakatana humo humo hotelini wanaume wamehama vyumba wamehamia kwa wadada..!!😂😂
 
nimemaanisha nafaka sio vyakula vilivyopikwa, kwa aina hiyo hali ni tete sana ila kwawauza nafaka wanauza japo si kwa wingi ila wanauza.
 
Ni lazima tumtegemee Mungu kwa asilimia [emoji817] wewe mwenzetu umejiumba mwenyewe!?

Sent using IPhone X
 
Ndugu uko sahihi kabisa. Hiyo biashara ni nzuri sana.
Tunaoumia ni sisi wajasiriamali wadogo wadogo tulioanza hauna akiba hauna side business maana mpaka isimame biashara moja ndo uanzishe nyingine. Sasa kabiashara kenyewe corona kameigusa yaani
nimemaanisha nafaka sio vyakula vilivyopikwa, kwa aina hiyo hali ni tete sana ila kwawauza nafaka wanauza japo si kwa wingi ila wanauza.
 
Ndugu uko sahihi kabisa. Hiyo biashara ni nzuri sana.
Tunaoumia ni sisi wajasiriamali wadogo wadogo tulioanza hauna akiba hauna side business maana mpaka isimame biashara moja ndo uanzishe nyingine. Sasa kabiashara kenyewe corona kameigusa yaani

ni kweli hali imeathiri sana wajaa wenye siri ya mali wadogo na wakubwa pia
 
Serikali ingefaa kutoa tamko ifanyeje kuwanusuru wafanya biashara na wale wenye mikopo. Baadae kutazidi kuwa kugumu. Ila ipo siku yatapita
Wenzetu wakenya mabenki yameambiwa na raisi wao yapunguze riba za mikopo serekali yao pia imeenda mbali kwa kupunguza kodi ili ku easy the situation...
 
Ujasiriamali mgumu mumie,ndio mana tunashauriana kila siku

usiwe na biashara moja,maana ukija upepo kama huu kilio chake

sio cha kawaida,mtu unakuta ana 1M anataka kufungua biashara

anamaliza 1M yote kwenye biashara 1 huyu mtu lazima ipo siku atalia tu.

wakati alikua anauwezo akaigawa 1M akatoa biashara za 300k kama 3 hivi

ikiyumba hii ile inaenda na haziwezi kuyumba zote otherwise uwe ulikurupuka

wakati wa kuzifungua,Ujasiriamali maana yake ni ufanye biashara zaidi ya mbili.

Ila kwa hali ya sasa hamna mfanya Legal business mwenye amani,Hakuna Hali ni ngumu.
 
No wonder i love you this much...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Yaani acha ndugu yangu wengine tumeajiriwa lakini pia tunajihusisha na ujasiriamali na uwekezaji nje ya kazi zetu sasa hii kitu imekuja kuharibu kila kitu ni hasara juu ya hasara na wazee wa microfinance kila siku wanapiga simu wanataka marejesho yao yaani hawaelewi kabisa,.. Kiukweli ngoja tuone hadi mwisho.
 
Wewe hauna mke.
Unao wa kugegeda wasio na idadi.
Mambo ya mke na mume waachie wenyewe.

Kwani kutokuwa na mke ndio inamaanisha siwezi kujua jinsi yakuishi na mke

Mbona daktari anafanya upasuaji wa moyo pasipo yeye mwenyewe kutokuwa na ugonjwa wa moyo
 
Kwenye swala la mke huna unachokijua tujadili tu suala la corona hapa.
Kwani kutokuwa na mke ndio inamaanisha siwezi kujua jinsi yakuishi na mke

Mbona daktari anafanya upasuaji wa moyo pasipo yeye mwenyewe kutokuwa na ugonjwa wa moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…