Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Diversify your investments, kua na miradi tofauti, ukitegemea mfano restaurant peke yake janga kama hili linatokea unakufa. Kua na biashara tofauti moja ikifa nyingine inasurvive. Na savings ni muhimu sana, kitu kama hiki kikitokea uwe na uwezo wa kujifungia ndani hata mwaka na bado ukala vizuri.

Entrepreneurship sio easy, ila upside yake ni kubwa mno that’s why we do it, there’s no limit to what you can achieve. Mtegemea mshahara kama limit yake ni milioni kwa mwezi anastuck hapohapo tu, ovyo kabisa
 
Corona itatuonesha umaskini halisi wa nchi yetu, zile pambio za dona kantre natumai zitakoma kwa wakati huu, nchi haina policies za kuwakwamua wajasiriamali/wafanyabiashara, hakuna katazo na sera kwa mabenki, hakuna chochote tupo tupo tu masikini. Tunayoweza sisi siasa za hovyo hovyo tu.

Hili likipita viongozi wa nchi hii kama kweli wanaipenda nchi yetu wanatakiwa wawe wamebeba mafunzo kadhaa washirikishe wadau waje na mipango mikakati tekelezi itayokwamua hali ya mtanzania wa kawaida.

Pole Amu, poleni wajasiriamali wenzangu na watu wote ambao kwa namna moja au nyingine tumeathirika. Kama nchi tunatakiwa tutafakari kweli kweli ustawi wa jamii zetu.
 
mzee hlo gunia linakuwa na debe ngapi maana huku town debe wanauza 5k@

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Mfano mfanyakazi wa hotel za kitalii ame diversify kwa kuwa na tenda za kupeleka bidhaa mahotelini, ana miliki bar na anaendesha sehemu ya betting

Niambie huyu "diversifyer" anachomokea wapi?

Ku diversify ni mbinu general ya ku minimize risk, lakini huyu Corona anapiga kotekote

Hata kwenye zile biashara ambazo zinaoneka hazijaguswa na Corona, faida zimeshuka..... Uliza uambiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr kuku ni tapeli sema ataflow na corona kuziba utapeli wake.
Nilitamani niwekeze japo kidogo
Ila mbona sijaona walioinvest wakilalamjka?
au bado muda?!
 
Ingekuwa rahisi kama unavyoandika hapa wote tungekuwa na biashara kumi kumi.
 
Corona imeathiri hadi wale watu wa hiyo hela itume kwenye namba hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] corona imeleta balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaandika kesho

Lakini kuna kipindi mda mrefu sana alifunga comments instagrama ulalamishi ulishaanza akawa anatupia haruhusu coments.
Nilitamani niwekeze japo kidogo
Ila mbona sijaona walioinvest wakilalamjka?
au bado muda?!
 
Nitaandika kesho

Lakini kuna kipindi mda mrefu sana alifunga comments instagrama ulalamishi ulishaanza akawa anatupia haruhusu coments.
Heee haya maa
 
Kipindi hiki labda uwe na hospital ndio utapiga bao na tunaelekea kwa lock down
 
Inasikitisha sana. Nchi nyingine zinasaidia watu wake katika kipindi hiki kigumu. Ya kwetu inaomba kuchangiwa pesa na watu wake za kupambana na corona! Tumwombe Mungu atuvushe.

Utakuwa hujitambui. Mitandaoni humu kunawafqnya mjisahau hadhi yenu kama Taifa maskini. Kama wewe huna nchi itakuwa nayo. Lipa Kodi nk.

Tena shukuru Mungu Hakuna total lockdown. Fuata masharti. Jilinde na mlinde mwenzako. Nawazaga watu kama nyie ndo kama yule jamaa wa Mwanza aliyetoka Dubai akazunguka dar siku 2-3. then akaenda mwanza akakutwa na corona. Watanzania hatuweza LOLOTE kama hatutajifunza kuwa responsible for our actions. Na Tuanze kwa watoto. Sisi kazi yetu majungu na kuhisi kuwa tulipaswa kufanyiwa kila kitu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…