Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Utakuwa hujitambui. Mitandaoni humu kunawafqnya mjisahau hadhi yenu kama Taifa maskini. Kama wewe huna nchi itakuwa nayo. Lipa Kodi nk.

Tena shukuru Mungu Hakuna total lockdown. Fuata masharti. Jilinde na mlinde mwenzako. Nawazaga watu kama nyie ndo kama yule jamaa wa Mwanza aliyetoka Dubai akazunguka dar siku 2-3. then akaenda mwanza akakutwa na corona. Watanzania hatuweza LOLOTE kama hatutajifunza kuwa responsible for our actions. Na Tuanze kwa watoto. Sisi kazi yetu majungu na kuhisi kuwa tulipaswa kufanyiwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona povu?!
 
Na ukiwa mwaminifu hata benki huendi. Suppliers wanakupa mzigo hadi unakataa. Hapa inabidi niwalipe suppliers, nafikiria na hali hii niwalipe what if tuki-lockdown kesho itakuwaje. Nisipowalipa naharibu credit score soon nitapoteza credit facility. Nina siku mbili za kuamua.
Na wao wanafahamu hali halisi.

Wote mtakuwa lock down.

Ila kama una credit score nzuri, wala usihofu, wanaelewa hali halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diversify your investments, kua na miradi tofauti, ukitegemea mfano restaurant peke yake janga kama hili linatokea unakufa. Kua na biashara tofauti moja ikifa nyingine inasurvive. Na savings ni muhimu sana, kitu kama hiki kikitokea uwe na uwezo wa kujifungia ndani hata mwaka na bado ukala vizuri.

Entrepreneurship sio easy, ila upside yake ni kubwa mno that’s why we do it, there’s no limit to what you can achieve. Mtegemea mshahara kama limit yake ni milioni kwa mwezi anastuck hapohapo tu, ovyo kabisa
Binafsi naona ni sawa ila kwa issue ya Covid-19 oja ripple effects kwenye uchumi kwa sababu itaathiri biashara moja na madhara hayo yanaathiri biashara nyingine. Mfano halisi ni biashara zinazohitaji mikusanyiko au hafla.
 
Diversification ya biashara kwenye hili janga ni kama haina maana.

Wife na mie tuna biashara karibu tatu tofauti ,lakini zote zimekalishwa na bw Kovidi.
Pesa ya kula na kujifungia hata ikiwepo ya mwaka mzima , kwa mjasiliamali itakuwa ni mtaji tunakula sio savings.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mfanyakazi wa hotel za kitalii ame diversify kwa kuwa na tenda za kupeleka bidhaa mahotelini, ana miliki bar na anaendesha sehemu ya betting

Niambie huyu "diversifyer" anachomokea wapi?

Ku diversify ni mbinu general ya ku minimize risk, lakini huyu Corona anapiga kotekote

Hata kwenye zile biashara ambazo zinaoneka hazijaguswa na Corona, faida zimeshuka..... Uliza uambiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama diversification ni kua na hoteli na baa basi sio diversification hiyo, hizo biashara mbili uendeshaji wake unaendana kwa asilimia kubwa mno, portfolio nayoongelea mimi ni vitu ambavyo uhusiano wake ni mdogo na unakua na biashara nyingi sio moja wala mbili, kama uko mwanzoni basi moja si mbaya ila kama umekua na biashara moja ikakua vizuri kabisa na profit kibao alafu hujaanzisha nyingine una matatizo ya akili.
Biashara nyingi zimekua affected nakubali kabisa ila angalau zipo ambazo hazifungi 100%. Ndiyo umuhimu wa kudiversify, mfano maduka huwezi funga 100% ila hoteli sasa hivi unafunga kabisa na kukaa nyumbani. Tulio kwenye online business hakuna kufunga ni 24/7 ina run itastop pale kila mtu kafulia hana tena hela ya kuspend which means uchumi umekufa tunahitaji muda kurecover.
 
Ingekuwa rahisi kama unavyoandika hapa wote tungekuwa na biashara kumi kumi.
Sijasema ni rahisi, nimeandika kabiaa ujasiriamali ni mgumu, sio for everybody, wengi tumefeli mara kibao karibia tuwe diagnosed na clinical depression ila we kept on fighting hadi kufikia tulipo. Its not for the 95% naweza sema. Ila the upside is big
 
Kipindi hiki labda uwe na hospital ndio utapiga bao na tunaelekea kwa lock down
Online business zimekua, watu wananunua sana online vitu vinakua delivered nyumbani, so sio hospital tu, zipo business kibao za kupiga hela.
 
Binafsi naona ni sawa ila kwa issue ya Covid-19 oja ripple effects kwenye uchumi kwa sababu itaathiri biashara moja na madhara hayo yanaathiri biashara nyingine. Mfano halisi ni biashara zinazohitaji mikusanyiko au hafla.
Ni kweli biashara nyingi sana zitakufa ila si zote. Zipo ambazo zinapanda sana kwenye huu mlipuko. Watu wameanza hadi kutengeneza mask za vitenge wanauza 2k. Kuna watu wanapiga 500K kila siku kwa hizi mask na hapo mtaji kaspend kama 50k tu, hiyo ni close to 1000% very good business kukusanya cash mtu anakaa ndani miezi kadhaa ana hela ya kusurvive hili lipite.
 
Online business zimekua, watu wananunua sana online vitu vinakua delivered nyumbani, so sio hospital tu, zipo business kibao za kupiga hela.
Niliagiza mzigo Alibsba tangu february umekwama uko uchinani juzi nimeona pia Amazoni wanasitisha kutuma baadhi ya bishaa ili wadili na bidhaa za afya tu i.e masks sanitizers na vipima joto
Saivi biashara yeyote unayoifanya iangalie inaweza kusurvive lockdown ?
Kuna mdau alitoa wazo jana la biashara ya sanitize fumigation hio niliiona iko valid sana labda akwamishwe na wanasiasa ila ikitokea lockdown pia atakua out of business
 
Haha, Alibaba unaagiza mzigo toka china kwenye companies ambazo zimefunga milango so sishangai mzigo wako kutokufika. Same for amazon. Usikariri kua online business ni kuuza goods kama nguo peke yake. Mfano online business zilizopo hapohapo Tanzania wanaouza chakula online wanapikia majumbani, sasa hivi order zimeongezeka mno, sasa hivi watu hawanunui nguo ila vyakula na vitu vya muhimu kila mtu ananunua anaweka ndani, maji ya kunywa, viungo vya kupikia watu hawaendi sokoni wanaagiza tu online. Naongelea quick products delivered daily sio product unakaa unasubiri mtu akae atengeneze uletewe, hizo hupati coz wafanyakazi hawaendi kazini kukaa wakatengeneza.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mimi nimekimbia ofisi juz kat wamepiga mnada furniture za ofis yangu wateja wangu wengi ni mashule na makampuni ya utalii
Pia niliagiza mizigo china imekwama uko tangu february ndugu mteja anataka refund alaf mkulungwa niko juu ya mawe balaa
Yaan kua CEO wa vikampuni uchwara ni stress balaa kuitwa tapeli nje nje yaan

Pole sana usichoke
 
Mwezi wa kwanza galfriend wangu alianguka akiwa anaenda dukani akavunja Mkono, ni wiki ya pili tu tangu nitoke kulipa kodi ya ofisini kwangu na ninapoishi. Nikahangaika kupata fedha ya kwenda kumtibia nikafanikiwa kiasi fulani akatiwa POP, nimemuuguza kwa miezi miwili mpaka alipotoa POP, nikamwambia aende kwake kwanza angalau nipate nafasi ya kukusanya kodi ya ofisini, mwezi ujao.

Biashara mwezi wa tatu ikawa ya kuvuta na kamba, inapatikana pesa ya kula tu inaisha. Hamna kusave wala nini, mara upande wa pili kidudu kikashika speed hapa kwetu. Sasa hivi nimeamua itakavyokuwa na iwe tu aisee.
 
kabisa yaani. sasa unajua sometimes haya mambo tunajitakia wenyewe. yaani kukosa uaminifu ndio unatuponza wengi lah sivyo tungekuwa twakopeshana wenyewe kwa wenyewe tuu.

Mmh haya kwa hali hii umenikopesha na rejesho unalitaka nikikwambia mambo hayaendi utanielewa kweli??kukopeshwa na bank kukopeshwa na mtu binafsi kwa wakati huu hali si hali
 
Mmh haya kwa hali hii umenikopesha na rejesho unalitaka nikikwambia mambo hayaendi utanielewa kweli??kukopeshwa na bank kukopeshwa na mtu binafsi kwa wakati huu hali si hali

Kwa nini tusielewe.... La, ima kuwe na ufikiria watu wanapunguziwa mishahara sasa unadhani inakuwaje.
Kwa sasa sahau mambo ya development na kuzingatia afya tuu.... Ukitoboa kipindi hichi na afya yako ukiwa mzima jihesabu mwenye bahati.
 
Back
Top Bottom