Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
mbona povu?!Utakuwa hujitambui. Mitandaoni humu kunawafqnya mjisahau hadhi yenu kama Taifa maskini. Kama wewe huna nchi itakuwa nayo. Lipa Kodi nk.
Tena shukuru Mungu Hakuna total lockdown. Fuata masharti. Jilinde na mlinde mwenzako. Nawazaga watu kama nyie ndo kama yule jamaa wa Mwanza aliyetoka Dubai akazunguka dar siku 2-3. then akaenda mwanza akakutwa na corona. Watanzania hatuweza LOLOTE kama hatutajifunza kuwa responsible for our actions. Na Tuanze kwa watoto. Sisi kazi yetu majungu na kuhisi kuwa tulipaswa kufanyiwa kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app