Wana import dawa kutoka wapi kwa sasa?Nadhani unafuu siku zote ni biashara ya madawa ya binadamu "duka la dawa" au pharmacy
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana import dawa kutoka wapi kwa sasa?Nadhani unafuu siku zote ni biashara ya madawa ya binadamu "duka la dawa" au pharmacy
Angalieni kwenye coment zetu kumbe mbunge anaku replymbona povu?!
systematic risk cannot be minimized by diversification only unsystematic risk can be minimized by diversified portifolio.Mkuu soma vizuri, Sijasema kumiliki bar na hotel, nimesema mfanyakazi wa hotel (hapa naongelea jamaa ameajiriwa, ina maana tayari hana kazi) halafu anamiliki bar huko mtaani ina maana hapa ana kitega uchumi wakati huo huo ana supply bidhaa kwenye hotel n.k. By the way huo ulikuwa ni mfano tu
Ngoja nikupe mfano mwingine basi
Mmiliki wa stationary inayofanya kazi na mashule, wakati huo huo anaonesha mpira kwenye vibanda umiza vya soka la Ulaya na bongo wakati huo huo ana maduka ya bidhaa kutoka China, wakati huo huo ana Ukumbi wa sherehe, je huyu diversification itamsaidiaje kwa sasa?
Nasisitiza diversification kiuchumi inasaidia lakini si katika kesi ya sasa, hii ni crisis ya kidunia inagusa kila eneo, mengine yanaguswa kwa kiwango kikubwa sana (mfano sector ya aviation na utalii) na mengine yanaguswa kwa kiwango kidogo mfano biashara za hardware (kwa sasa, iki chukua muda mrefu na zenyewe zitakuwa chali)
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaaa dah hatari
Mbona unaingia kichwa kichwa?? Umeelewa kwanini nimemjibu hivyo??Haya, Tuambie inaisha lini?
Ndugu taja biashara online ninayokua kwa Sasa mbona unaleta porojo?You'll be surprised Tanzania hapohapo, I'm running 4 online businesses na 3 zimekua sana wakati huu wa korona, moja tu ndiyo imeshuka.
There's really no magic, hua nasema ukiona unafulia jua uko peke yako, hamfi wote kuna watu wanazidi kupanda wakati wengine mnaumia. Stand up and figure out what to do kujitoa kwenye hiyo situation period, maneno mengine yote hua ni excuses tu.
Mkuu: nimelichukua hili.Niunganishe hapo kwenye limao sokoni zimekuwa deal
Mkuu ni debe 6.mzee hlo gunia linakuwa na debe ngapi maana huku town debe wanauza 5k@
Sent from my SM-J320F using Tapatalk
You missed the point. Hamna anaesema biashara zimefungwa(kwa Tz). Biashara nyingi ziko wazi ila wateja hamna, watu hawana hela ndio maana wengine watakwambia hata online utamuuzia nani?! Hatuko kwenye lockdown hapa Tz maduka na biashara nyingi zipo wazi ila wateja hamna, kila mtu anajihami na senti zake wanatumia kwenye mambo muhimu kama chakula(nyumbani sio hotelini) na dawa.Tulio kwenye online business hakuna kufunga ni 24/7 ina run itastop pale kila mtu kafulia hana tena hela ya kuspend which means uchumi umekufa tunahitaji muda kurecover.
systematic risk cannot be minimized by diversification only unsystematic risk can be minimized by diversified portifolio.
Corona ni macro economic factor it affects all industries and not specific industry.
hii n fursa mzeeMkuu ni debe 6.
Duh! ni akili uko nayo au matope?
Sent From Galaxy S9
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabisa yaan nikutoa tu hakuna kubak na pesaHapa najipanga nikatoe mshiko wangu wote bank nibaki nao ndani wasije freeze account buree
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh pole mkuuMimi nimekimbia ofisi juz kat wamepiga mnada furniture za ofis yangu wateja wangu wengi ni mashule na makampuni ya utalii
Pia niliagiza mizigo china imekwama uko tangu february ndugu mteja anataka refund alaf mkulungwa niko juu ya mawe balaa
Yaan kua CEO wa vikampuni uchwara ni stress balaa kuitwa tapeli nje nje yaan