Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Diversify your investments, kua na miradi tofauti, ukitegemea mfano restaurant peke yake janga kama hili linatokea unakufa. Kua na biashara tofauti moja ikifa nyingine inasurvive. Na savings ni muhimu sana, kitu kama hiki kikitokea uwe na uwezo wa kujifungia ndani hata mwaka na bado ukala vizuri.

Entrepreneurship sio easy, ila upside yake ni kubwa mno that’s why we do it, there’s no limit to what you can achieve. Mtegemea mshahara kama limit yake ni milioni kwa mwezi anastuck hapohapo tu, ovyo kabisa

Aisee nikifika stage ya kujifungia mwaka ndani nikala bila stress nitashukuru sana Mungu,azione juhudi zangu anitendee na mimi
 
Kwa nini tusielewe.... La, ima kuwe na ufikiria watu wanapunguziwa mishahara sasa unadhani inakuwaje.
Kwa sasa sahau mambo ya development na kuzingatia afya tuu.... Ukitoboa kipindi hichi na afya yako ukiwa mzima jihesabu mwenye bahati.

Ni kweli muhimu afya kwanza
 
Mkuu soma vizuri, Sijasema kumiliki bar na hotel, nimesema mfanyakazi wa hotel (hapa naongelea jamaa ameajiriwa, ina maana tayari hana kazi) halafu anamiliki bar huko mtaani ina maana hapa ana kitega uchumi wakati huo huo ana supply bidhaa kwenye hotel n.k. By the way huo ulikuwa ni mfano tu

Ngoja nikupe mfano mwingine basi

Mmiliki wa stationary inayofanya kazi na mashule, wakati huo huo anaonesha mpira kwenye vibanda umiza vya soka la Ulaya na bongo wakati huo huo ana maduka ya bidhaa kutoka China, wakati huo huo ana Ukumbi wa sherehe, je huyu diversification itamsaidiaje kwa sasa?

Nasisitiza diversification kiuchumi inasaidia lakini si katika kesi ya sasa, hii ni crisis ya kidunia inagusa kila eneo, mengine yanaguswa kwa kiwango kikubwa sana (mfano sector ya aviation na utalii) na mengine yanaguswa kwa kiwango kidogo mfano biashara za hardware (kwa sasa, iki chukua muda mrefu na zenyewe zitakuwa chali)
Kama diversification ni kua na hoteli na baa basi sio diversification hiyo, hizo biashara mbili uendeshaji wake unaendana kwa asilimia kubwa mno, portfolio nayoongelea mimi ni vitu ambavyo uhusiano wake ni mdogo na unakua na biashara nyingi sio moja wala mbili, kama uko mwanzoni basi moja si mbaya ila kama umekua na biashara moja ikakua vizuri kabisa na profit kibao alafu hujaanzisha nyingine una matatizo ya akili.
Biashara nyingi zimekua affected nakubali kabisa ila angalau zipo ambazo hazifungi 100%. Ndiyo umuhimu wa kudiversify, mfano maduka huwezi funga 100% ila hoteli sasa hivi unafunga kabisa na kukaa nyumbani. Tulio kwenye online business hakuna kufunga ni 24/7 ina run itastop pale kila mtu kafulia hana tena hela ya kuspend which means uchumi umekufa tunahitaji muda kurecover.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Online business kwa context ya Tanzania ipi inakua?
You'll be surprised Tanzania hapohapo, I'm running 4 online businesses na 3 zimekua sana wakati huu wa korona, moja tu ndiyo imeshuka.

There's really no magic, hua nasema ukiona unafulia jua uko peke yako, hamfi wote kuna watu wanazidi kupanda wakati wengine mnaumia. Stand up and figure out what to do kujitoa kwenye hiyo situation period, maneno mengine yote hua ni excuses tu.
 
Aisee nikifika stage ya kujifungia mwaka ndani nikala bila stress nitashukuru sana Mungu,azione juhudi zangu anitendee na mimi

Endelea kumuomba huyo mungu tu badala ya kutoka ukafanya kazi.
 
Hata biashara ya online ita collupse pale uwezo wa watu kununua utakapopungua

Wanunuaji ndio hao hao Walimu wa shule za private, wafugaji wa kuku wa nyama na mayai, na wafanyakazi wa viwanda vilivyofungwa, na wote wanalia sasa hivi,

Hata kama uwezo wa kununua upo, unadhani mtu mwenye stationary atanunua pc au photocopy mashine ya nini wakati hamna kazi,

Juzi Nimeona Marekani wafugaji wa ng'ombe wa maziwa, wanakamua kisha wanaenda kuyamwaga

Corona inaleta economic depression ambapo ulimwengu mzima na biashara zote zinaathirika

Tofauti labda ni severity, nyingine zinathirika sana kuliko nyingine
Online business zimekua, watu wananunua sana online vitu vinakua delivered nyumbani, so sio hospital tu, zipo business kibao za kupiga hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu soma vizuri, Sijasema kumiliki bar na hotel, nimesema mfanyakazi wa hotel (hapa naongelea jamaa ameajiriwa, ina maana tayari hana kazi) halafu anamiliki bar huko mtaani ina maana hapa ana kitega uchumi wakati huo huo ana supply bidhaa kwenye hotel n.k. By the way huo ulikuwa ni mfano tu

Ngoja nikupe mfano mwingine basi

Mmiliki wa stationary inayofanya kazi na mashule, wakati huo huo anaonesha mpira kwenye vibanda umiza vya soka la Ulaya na bongo wakati huo huo ana maduka ya bidhaa kutoka China, wakati huo huo ana Ukumbi wa sherehe, je huyu diversification itamsaidiaje kwa sasa?

Nasisitiza diversification kiuchumi inasaidia lakini si katika kesi ya sasa, hii ni crisis ya kidunia inagusa kila eneo, mengine yanaguswa kwa kiwango kikubwa sana (mfano sector ya aviation na utalii) na mengine yanaguswa kwa kiwango kidogo mfano biashara za hardware (kwa sasa, iki chukua muda mrefu na zenyewe zitakuwa chali)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio utaona bora uwe na maburungutu ya mihela nyumbani tuu.
 
Aise pole mkuu
Mwezi wa kwanza galfriend wangu alianguka akiwa anaenda dukani akavunja Mkono, ni wiki ya pili tu tangu nitoke kulipa kodi ya ofisini kwangu na ninapoishi. Nikahangaika kupata fedha ya kwenda kumtibia nikafanikiwa kiasi fulani akatiwa POP, nimemuuguza kwa miezi miwili mpaka alipotoa POP, nikamwambia aende kwake kwanza angalau nipate nafasi ya kukusanya kodi ya ofisini, mwezi ujao.

Biashara mwezi wa tatu ikawa ya kuvuta na kamba, inapatikana pesa ya kula tu inaisha. Hamna kusave wala nini, mara upande wa pili kidudu kikashika speed hapa kwetu. Sasa hivi nimeamua itakavyokuwa na iwe tu aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata biashara ya online ita collupse pale uwezo wa watu kununua utakapopungua

Wanunuaji ndio hao hao Walimu wa shule za private, wafugaji wa kuku wa nyama na mayai, na wafanyakazi wa viwanda vilivyofungwa, na wote wanalia sasa hivi,

Hata kama uwezo wa kununua upo, unadhani mtu mwenye stationary atanunua pc au photocopy mashine ya nini wakati hamna kazi,

Juzi Nimeona Marekani wafugaji wa ng'ombe wa maziwa, wanakamua kisha wanaenda kuyamwaga

Corona inaleta economic depression ambapo ulimwengu mzima na biashara zote zinaathirika

Tofauti labda ni severity, nyingine zinathirika sana kuliko nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo ni kweli, watu wasipopata njia ya kutengeneza hela hali ikidumu hivi tuseme mwaka mzima basi biashara zote zitacollapse simply because hakuna production popote pale na hakuna wenye hela ya kunuuna chochote, hata serikali ikisema igawie watu hela production is zero. Ila angalau kua na business itakayokufanya usurvive muda mrefu kidogo kuliko nyingine is better kuliko biashara inayokufa ndani ya siku moja tu.
 
Ni kweli
Hilo ni kweli, watu wasipopata njia ya kutengeneza hela hali ikidumu hivi tuseme mwaka mzima basi biashara zote zitacollapse simply because hakuna production popote pale na hakuna wenye hela ya kunuuna chochote, hata serikali ikisema igawie watu hela production is zero. Ila angalau kua na business itakayokufanya usurvive muda mrefu kidogo kuliko nyingine is better kuliko biashara inayokufa ndani ya siku moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu soma vizuri, Sijasema kumiliki bar na hotel, nimesema mfanyakazi wa hotel (hapa naongelea jamaa ameajiriwa, ina maana tayari hana kazi) halafu anamiliki bar huko mtaani ina maana hapa ana kitega uchumi wakati huo huo ana supply bidhaa kwenye hotel n.k. By the way huo ulikuwa ni mfano tu

Ngoja nikupe mfano mwingine basi

Mmiliki wa stationary inayofanya kazi na mashule, wakati huo huo anaonesha mpira kwenye vibanda umiza vya soka la Ulaya na bongo wakati huo huo ana maduka ya bidhaa kutoka China, wakati huo huo ana Ukumbi wa sherehe, je huyu diversification itamsaidiaje kwa sasa?

Nasisitiza diversification kiuchumi inasaidia lakini si katika kesi ya sasa, hii ni crisis ya kidunia inagusa kila eneo, mengine yanaguswa kwa kiwango kikubwa sana (mfano sector ya aviation na utalii) na mengine yanaguswa kwa kiwango kidogo mfano biashara za hardware (kwa sasa, iki chukua muda mrefu na zenyewe zitakuwa chali)

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuelekeza vizuri sana , kama hajaelewa basi tena , kovid imekuja kuua na kusambaratisha watu, na biashara zao , hakuna , nasema hakuna biashara itakayopona , hata hiyo ya kutengeneza mask za vitenge anayosema haitakuja muda kabla ya vitenge kuadimika na watu kukosa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You'll be surprised Tanzania hapohapo, I'm running 4 online businesses na 3 zimekua sana wakati huu wa korona, moja tu ndiyo imeshuka.

There's really no magic, hua nasema ukiona unafulia jua uko peke yako, hamfi wote kuna watu wanazidi kupanda wakati wengine mnaumia. Stand up and figure out what to do kujitoa kwenye hiyo situation period, maneno mengine yote hua ni excuses tu.
Ni biashara gani hizo unazofanya. Usiwe na roho mbaya share na sisi

Sent From Galaxy S9
 
Online business zimekua, watu wananunua sana online vitu vinakua delivered nyumbani, so sio hospital tu, zipo business kibao za kupiga hela.
Nani kakwambia?
online business nayo chalii yaani watu hawafanyi biashara,wafanyakazi wako majumbani Hiyo online wananunua vitu na nini?
 
Unaakili sanaa mimi nshakimbia kitambo mjini nalima zangu mahindi kilosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimo hiki cha kutegemea mvua hakina 100% ...ni kama ajira tu mafuriko yakija same!!

Wenye ajira, wakulima wadogowadogo kama wewe mkuu bado tunahangaika hakuna uafadhali...

Wote hakuna mwenye 100% secure; shamba bila insurance & umwagiliaji ni tatizo pia.
 
Pambaneni na hali yenu huko. Mimi niko nchi nyingine napambana na hali yangu. Unafurahia kutokuwa na lockdown! Unafikiri wenye lockdown ni wajinga? Subiri ukione cha mtema kuni punde.
Utakuwa hujitambui. Mitandaoni humu kunawafqnya mjisahau hadhi yenu kama Taifa maskini. Kama wewe huna nchi itakuwa nayo. Lipa Kodi nk.

Tena shukuru Mungu Hakuna total lockdown. Fuata masharti. Jilinde na mlinde mwenzako. Nawazaga watu kama nyie ndo kama yule jamaa wa Mwanza aliyetoka Dubai akazunguka dar siku 2-3. then akaenda mwanza akakutwa na corona. Watanzania hatuweza LOLOTE kama hatutajifunza kuwa responsible for our actions. Na Tuanze kwa watoto. Sisi kazi yetu majungu na kuhisi kuwa tulipaswa kufanyiwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom