brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
Diversify your investments, kua na miradi tofauti, ukitegemea mfano restaurant peke yake janga kama hili linatokea unakufa. Kua na biashara tofauti moja ikifa nyingine inasurvive. Na savings ni muhimu sana, kitu kama hiki kikitokea uwe na uwezo wa kujifungia ndani hata mwaka na bado ukala vizuri.
Entrepreneurship sio easy, ila upside yake ni kubwa mno that’s why we do it, there’s no limit to what you can achieve. Mtegemea mshahara kama limit yake ni milioni kwa mwezi anastuck hapohapo tu, ovyo kabisa
Aisee nikifika stage ya kujifungia mwaka ndani nikala bila stress nitashukuru sana Mungu,azione juhudi zangu anitendee na mimi