Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

systematic risk cannot be minimized by diversification only unsystematic risk can be minimized by diversified portifolio.
Corona ni macro economic factor it affects all industries and not specific industry.
 
Ndugu taja biashara online ninayokua kwa Sasa mbona unaleta porojo?
 
Tulio kwenye online business hakuna kufunga ni 24/7 ina run itastop pale kila mtu kafulia hana tena hela ya kuspend which means uchumi umekufa tunahitaji muda kurecover.
You missed the point. Hamna anaesema biashara zimefungwa(kwa Tz). Biashara nyingi ziko wazi ila wateja hamna, watu hawana hela ndio maana wengine watakwambia hata online utamuuzia nani?! Hatuko kwenye lockdown hapa Tz maduka na biashara nyingi zipo wazi ila wateja hamna, kila mtu anajihami na senti zake wanatumia kwenye mambo muhimu kama chakula(nyumbani sio hotelini) na dawa.

Hii ni dunia nzima tena huko nchi zilizoendelea ndio balaa. Mamilioni ya watu USA wamekuwa jobless wanajiandikisha wapewe ruzuku, Ulaya hivyo hivyo biashara zinapewa stimuli zisife au zisipunguze watu.
 
Duuh pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…