Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

hii dunia hii kuna wakati unajiuliza hivi ni kweli yote haya yanasababishwa na "Apple" aliyokula Adam tu?? yaani "Apple" tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hutojali.. mention 2 tu, tuangalie namna ya kujiongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atamuuzia nani Kuku sasa hivi ,hapa watu wajiandae kisaikolojia wamepigwa.

Manake wanasema hela ina double kila baada ya miezi sita,acc zimeshikiliwa hatujui zinafanyiwa uchunguzi,kwa mda gani so ina maana hapo kuna watu sizani kama watalipwa,pili na hii hali ya Corona Mahoteli makubwa yamefungwa,sijui watamuuzia nani ?.

Mimi hela yangu nilitaka kuipeleka huko,nika sita nikataka kuipeleka kwenye kilimo ila tatizo mtu mwenyewe si mwaminifu naogopa nitagombana na ndugu yangu,wazo nilikuwa nalo ninunue mchele mkoani alafu niuze.
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…