Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Kuna mzigo niliagiza nje , Siku napata bill of loading ndo korona nayo imeshachangamka, halafu kibaya nilikuwa nategemea kulipwa na kiwanda fulani ili nipate kuukomboa mzigo bandarini, kwa bahati mbaya hicho kiwanda kimefungwa na mchina karudi kwako kenya , yani nimechangamyikiwa had basi
Meli inaingia tarehe Kumi ila wala sioni dalili za kupata hiyo pesa , nahisi kupoteza mzigo kwa storage na kodi
Hata kama tukipona korona itatuacha na umasikini uliotopea

Sent using Jamii Forums mobile app
hii dunia hii kuna wakati unajiuliza hivi ni kweli yote haya yanasababishwa na "Apple" aliyokula Adam tu?? yaani "Apple" tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You'll be surprised Tanzania hapohapo, I'm running 4 online businesses na 3 zimekua sana wakati huu wa korona, moja tu ndiyo imeshuka.

There's really no magic, hua nasema ukiona unafulia jua uko peke yako, hamfi wote kuna watu wanazidi kupanda wakati wengine mnaumia. Stand up and figure out what to do kujitoa kwenye hiyo situation period, maneno mengine yote hua ni excuses tu.
Kama hutojali.. mention 2 tu, tuangalie namna ya kujiongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Atamuuzia nani Kuku sasa hivi ,hapa watu wajiandae kisaikolojia wamepigwa.

Manake wanasema hela ina double kila baada ya miezi sita,acc zimeshikiliwa hatujui zinafanyiwa uchunguzi,kwa mda gani so ina maana hapo kuna watu sizani kama watalipwa,pili na hii hali ya Corona Mahoteli makubwa yamefungwa,sijui watamuuzia nani ?.

Mimi hela yangu nilitaka kuipeleka huko,nika sita nikataka kuipeleka kwenye kilimo ila tatizo mtu mwenyewe si mwaminifu naogopa nitagombana na ndugu yangu,wazo nilikuwa nalo ninunue mchele mkoani alafu niuze.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom