Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
hii dunia hii kuna wakati unajiuliza hivi ni kweli yote haya yanasababishwa na "Apple" aliyokula Adam tu?? yaani "Apple" tu?Kuna mzigo niliagiza nje , Siku napata bill of loading ndo korona nayo imeshachangamka, halafu kibaya nilikuwa nategemea kulipwa na kiwanda fulani ili nipate kuukomboa mzigo bandarini, kwa bahati mbaya hicho kiwanda kimefungwa na mchina karudi kwako kenya , yani nimechangamyikiwa had basi
Meli inaingia tarehe Kumi ila wala sioni dalili za kupata hiyo pesa , nahisi kupoteza mzigo kwa storage na kodi
Hata kama tukipona korona itatuacha na umasikini uliotopea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app