Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Hakika ni kumuomba Mwenyezi Mungu hili balaa lisiendelee kuiathiri Nchi yetu. Maana hapa biashara zangu fulani zilizokua zinanipa pesa ya kula nje ya mshahara wangu muelekeo wake sio mzuri kama hapo mwanzo.

Ni kuendelea kupambana na kumuomba Mwenyezi Mungu,kwa upande wangu sitegemei kuifunga itaendelea hivyohivyo mpaka pale hali itakapotengemaa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanadamu bana hamjui kwamba habari yenu kwisha!!!
mmefika ukingoni...!!!
 
Ameen @ram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…