Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Yote mlioandika mmepita mle mle,Sisi wengine tusitie neno zaidi ya kutiana moyo kwamba yatapita japo Haijulikani lini hali itarudi kuwa normal!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu amu 'never give up' ndio mana mkaitwa 'wajasili' maana yake ninyi ni watu mahodari wenye mioyo migumu msiogopa na mda wowote mwaeza thubutu kufanya kitu flani.

Mmoja. Ya mradi wako na hisi ni ule wa vijana wanaozunguka na baiskeli kama sijakosea.

Ule mbona hata kwakipindi hiki unafanyika vizuri sana. Usingeshusha silaha chini. Kwa mkoa huu nilipo hapa mtaani kuna mama wa ki africast mmoja anavijana karibu ishirini na wote bado wanazunguka.

Rudi kazini kikubwa labda waweza punguza production tu
 
Nafikiri ilitokea Weakness furani Corona ikaja tandika palepale kwenye weakness on Spot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali wala sikatai kbs,ukawa na 1M au 2M au kiasi chochote ukaambiwa mpe mtu anzishe biashara

wakaja vijana wawili mbele yako mmoja akakupa wazo la biashara 1 ambalo atalisimamia kwa ufasaha

na aka kuahidi atarudisha pesa yako baada ya mwezi,Mwingine akakupa mawazo ya biashara 3 nae

akakuelezea na kuchambua atavyofanyaa kwa ufanisi na akakuahidi atarudisha pesa yako baada ya mwezi.

wewe kama mtoa mkopo,utampa nani huo mkopo wako kati ya vijana hao wawili mbele yako.

NOTE: VIJANA wote ni wapya ktk biashara wote hawana experience
Mkuu una hoja nzuri ya kuwa na B zaidi ya moja ila hapo kwenye jinsi ya kuwa nazo uwanze kiimpigo 3 nahisi ulitereza kukisema hicho kwa ninavyokujua hukupaswa kusema kitu kama hicho.

Umetereza Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndo nilichokiandika mwanzo.
Kimsingi unatakiwa uwe na moja kwanza ikisimame uingie ya pili.
Aiseee biashara hizi ndogo zinahitaji usimamizi kwa asilimia zote.
Huwezi kuanzisha mbili kwa mpigo
na zikasimama lazima utalega tu.
Mimi mwenyewe mpaka kuisimamisha hii nimeshafeli biashara tatu.

1.Hotel ilikufa ilipokosa usimamizi nikiwa kwenye uzazi. (hii nimeirudia kwa kufanya delivery ofisi fulani ijumaa na hiyo ofisi inategemea ndege za nje ndege zenyewe ndo kama hivyo)

2. Bodaboda. Hii mwezi tu niliuza bodaboda
3.Retail shop aiseeee nilibugi location.

Hii iliyosimama na chakula ndo biashara ambazo nitazipambania mpaka mwisho zisimame.

Tatizo la hii business haiendani na mvua na kama mvua ipo tunategemea shule asilimia mia walau tunauza hainaga tatizo sasa mvua plus corona lazima nitulie tu.
Kuanziasha biashara zaidi ya mmoja kwa pamoja na kwa mda mmoja ni hatari; waweza ukajikuta umefeli pote.

Ni vizuri kuipa nafasi biashara mmoja ikisimama vizuri then ndo safari ya biashara ya Pili ifuate.

Nafikiri hata wenye biashara zaidi mmoja walifuata misingi hii. Hakuna mtu anayependa kuwa na biashara mmoja tu hiyo hiyo na akaridhika. Ila na kwanini urisk pesa yako ya mtaji kwa biashara tatu tofauti tena ambazo hujawahi zifanya kabla.
 
Weee kaka embu tulia kwanza.
Ujue hii biashara nimeanzia mbali sana.
Na haina hata mwaka lakini mtaji unajidouble na imetoa ajira directly za
vijana 8,achilia wale indirectly bado napambana ifike ninapotakiwa ikifika naingia business b kuipambambani.
Wakati naanza nilikuwa nina hizo hizo business 2 wallah moja ikafa kibudu.Nimekomaa na hii na nitakomaa na hii
ikifika ninapotaka nitaenda kwingine.
Ni vyema kudiversifty sources of income lakni ikiwa moja imeshakomaa la sivyo zote zitakufa.

Ujasiriamali mgumu mumie,ndio mana tunashauriana kila siku

usiwe na biashara moja,maana ukija upepo kama huu kilio chake

sio cha kawaida,mtu unakuta ana 1M anataka kufungua biashara

anamaliza 1M yote kwenye biashara 1 huyu mtu lazima ipo siku atalia tu.

wakati alikua anauwezo akaigawa 1M akatoa biashara za 300k kama 3 hivi

ikiyumba hii ile inaenda na haziwezi kuyumba zote otherwise uwe ulikurupuka

wakati wa kuzifungua,Ujasiriamali maana yake ni ufanye biashara zaidi ya mbili.

Ila kwa hali ya sasa hamna mfanya Legal business mwenye amani,Hakuna Hali ni ngumu.
 
Wewe wajua nimezunguka taasisi 3 ili nizibe kwenye lile tatizo jibu nalokutana nalo corona.
Hata wale wadhamini tu wa kawaida nao corona imewagusa kiasi cha kwamba hakuna kitu kinachotendeka.
Nafikiri ilitokea Weakness furani Corona ikaja tandika palepale kwenye weakness on Spot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona

Lakini pia biashara ni risk na hata ktk hiyo mpya aliyofungua bado hana uhakika nayo

kwakua umeshaamua kucheza ngoma,basi ingia uwanjani icheze ukisema ufanye kwa

kusikilizia upepo wa biashara 1,utajikuta unapoteza Muda na Pesa Pia maana hamnaga biashra

inakaa stable "kamwe" hata umfate bakhressa umuulize anataka nn atakwambia bado anadhani

taste ya zile ice cream zake sio tamu kama anavyotaka,anahtaji pesa zaidi kuboresha.

Muhimu ukishaamua kuwa mjasiramali jitose experience utaipata humo humo uwanjani maana

hamna chuo cha ujasiriamali DUNIANI ni mtu kuamua kukubali risk na kuzi face jicho kwa jicho.
Hii yako ya kujaribu hiki na kile kwa wakati mmoja nimeshafanya sana uko nyuma na Mara zote nimedondokea pua mkuu.

Sababu ya kufanya kitu zaidi ya viwili nimejikuta gari iliyokuwa ikibeba abiria toka simu 2000 to gongolamboto ipo juu ya mawe kwa miezi kadhaa sasa na uwezo wa kuitoa sina, najikusanya kidogo kidogo irudi njiani.

Sasa hivi na komaa na kitu kimoja tu ambacho kinaonekana kwenye avater yangu.( biashara ya mawe ya dolomite)

hata wahenga walituasa
Mshika mawili mmoja humponyoka.
 
Yaani nikikumbuka biashara nilizoanzisha hela nilizoweka na zikapotea nabaki nasema ama kweli ukiona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi.

Afadhali nyie mlianza biashara halafu mdudu corona ameingia, ila wateja msha tengeneza kidogo...kuna kibiashara nataka kutia hela nikiweke town...walaji ni watu, na watu town wana pungua kila siku nahahirishaaa.
 
Yaani nikikumbuka biashara nilizoanzisha hela nilizoweka na zikapotea nabaki nasema ama kweli ukiona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi.
Huku nilipokuja nilitaka niingiwie na tamaa nikicheki mkaa gunia buku 8k, limao mmoja shambani bei yake ni shilling 10 ya kitanzania. Kuku ni kama bei ya singida tu.

Nikawaza nikawazua nikajisemea nikomae ni kitu kimmoja tu kilichonitoa dar na si kingine bali 'mawe'

Maana nikitaka vyote nitarudi kulekule kwa mwanzo.

Kwaiyo kama usemavyo ni vizuri ku deal na kitu kimoja tu.
 
Back
Top Bottom